Recent content by mathews makini

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dar: CHADEMA wazungumza na wanahabari kuhusu mauaji, barua ya Msajili na mahabusu wenye majeraha ya risasi

    Makini: hio ndio siasa yetu ilipofikia hakuna mwenye akili hiyo kwa mawazo ya kawaida ila ndiyo hali halisi, yaani unamnunua mtu, unatumia gharama mara mbili halafu unamsaidia kuiba kura ili awe m'bunge, hahahahaaa TANZAGIZA
  2. M

    JamiiForums Tanzania Napenda sana mavazi ya wanawake wa kiislamu hasa mambo safi

    Wastaaraabu, sana tu, kila zama ana elim yake
  3. M

    JamiiForums Tanzania Napenda sana mavazi ya wanawake wa kiislamu hasa mambo safi

    Nimeomba tu sababu ili uichallange iman naa kuongeza uelewa, ukiuliza ukapata jibu utanielewa, gud night
  4. M

    JamiiForums Tanzania Napenda sana mavazi ya wanawake wa kiislamu hasa mambo safi

    Usimeze mzee iishi quran
  5. M

    JamiiForums Tanzania Napenda sana mavazi ya wanawake wa kiislamu hasa mambo safi

    Mwanamume anaoa wanaawaake nane!! Mwanamke anaweza kuwa na wanaaume nane?? Why?? Umekariri ustadh kajifunze zaid
  6. M

    JamiiForums Tanzania Napenda sana mavazi ya wanawake wa kiislamu hasa mambo safi

    Mafii mushkilah khalaas
  7. M

    JamiiForums Tanzania Napenda sana mavazi ya wanawake wa kiislamu hasa mambo safi

    Umedanganywa na jina mimi mzee baba quran imelala ni ustadh mwenzio.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Napenda sana mavazi ya wanawake wa kiislamu hasa mambo safi

    Soma vizuri hudhuria kila siku quran you will tell me, hao wameambiwa wakae katika utulivu, wakisikiliza na kuwasaidia waume zao kumjua MUNGU.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi "Young" ni sawa na "Yanga"?

    Young Africans ilizaa neno Yanga kutokana na kukosewa na wazawa hatimaye jina Yanga likazaliwa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nabii Tito alikuwa sahihi kwa asilimia 100, Mafundisho yake ni ukweli mtupu

    [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nabii Tito alikuwa sahihi kwa asilimia 100, Mafundisho yake ni ukweli mtupu

    Kukejeli imani nyingine na kufanya uchafu hadharani ndio kosa lake hakuna kingine kila mtu na imani yake na ndio mzigo wake, mwache achukuliwe hatua.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA ikiamua kumfukuza Lowassa itabaki salama? Tujadili

    Yapo mengi ya kuzungumza zaidi ya kuhama tu cdm kwenda ccm, lowassa namuelewa sana na mh rais pia naamini pia siasa sio uadui lolote linawezekana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuendelea kuwepo ubalozi wa Israel hapa nchini?

    [emoji111]
Back
Top Bottom