Mkuu kura zinahosabiwa vituoni sio zinazotangazwa.
Mfano uchaguzi wa 2020 jimbo la kahama mgombea wa CCM alipata kura nyingi kuliko idadi ya waliopiga kura.
Ndo maana sheria sasa hivi inakataza kubandika matokeo ya kura katika kila kituo
Pia vipindi vya michezo ndo vinavyouza zaidi.
Hapo nguvu ya soko ndo imeamua. "The higher the demend the higher the supply"
Wamiliki wa radio wanategemea hivyo vipindi ili kulipa mishahara wafanyakazi wao.
Vilikuwepo hivyo vipindi lakini havina wasikilizaji. Kuilazimisha virudishwe hakuna wa...
mkuu unakwepa tatizo la msingi kabisa.
Ambalo ni mfumo wetu wa elimu haumuandai mtu kuwa na maarifa yatakayowezesha kujiri
vipindi vya michezo hakuna shida yoyote.
Na kwanza vimeanza miaka ya karibuni tu.
Kipindi cha vilikuwa hamna na taifa lilikuwa hivi hivi
kila mtu asikilize anachopenda
Ukitaka hamas wavae gwanda, basi na wao waruhusiwe kupata silaha kutoka popote wanapotaka.
Israel tangu vita ianze inapata msaada wa silaha kutoka nch mbali mbali. Ila hamas hawapati silaha
Kwahiyo kila mtu anatumia mbinu yake kujilinda. Uwanja wa vita hauko sawa
Mkuu huu ni uchumi wa wapi ukiosomea?
Yaani marekani ikiwa na shida ya hela tu I aprint?
Unajua madhara ya kuprint hela ovyo kwenye uchumi?
Hivi unajua matumizi yoyote ya serikali ya marekani yanapitishwa na bunge?
Hukuwa kusikia serikali ya marekani I afungwa kufanya kazi kwa sababu bunge...
Hivi umewahi kufuatilia Israel wanachowafanyia wapalestina wa ukingo wa magharibi?
Ukitaka kuuelewa huu mgogoro usichague upande kwanza. Fuatilia kwa kina utajua nani anafanya nini.
Halafu jaribu kuvaa viatu vya kila mmoja wao uone ungechukua hatua gani.
Kabla ya kuingia gaza Israel walikuwa wanajua hamasi wa mtandao wa mahandaki. Kwanini hawakuwqfuata huko huko chini wakawapiga kama kweli wanauwezo huo unao wasifia.
Wamekaa kupiga mabomu na kuuwa watu wasio kuwa na hatia.
Dini ni kitu kibaya kilicholetwa Duniani.
Asilimia kubwa wanaoichukia Israel au palestina. Ni kwa sababu ya dini.
Ukiweka dini pembeni ukaamua kufuatilia ukweli utajua tatizo liko wapi.
Maisha ya kila binadamu yana thamani. Dini isikupofushe ukaona uhai wa binadamu mwingine hauna thamani
Kwenye mbet. Hiyo report iliyosomwa imeishia desemba 2022. Kwahiyo ametoa nusu. Nusu nyingine nia kuanzia januari mpaka mwezi wa 6 .
Kwahiyo subiri riport ya mwisho wa mwaka huu ndio utajua m bet ametoa sh ngapi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.