Recent content by mathew markus glory

  1. mathew markus glory

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanaume ni wa aina gani?

    au ulikuwa wewe ndiye unatosha aut huyo mke wa mtu si alikuwa anakuombaga vihela halafu kumbuka umepost taarifa wanasoma wenye akili ni wewe mwenyewe ndiye uliyekuwa unamzunguka mshikaji
  2. mathew markus glory

    JamiiForums Tanzania Mwendesha bodaboda kortini kwa kosa kumbaka Askari JWTZ

    maombi ya watanzania kwa waziri wa viwanda na biashara achunguze upandaji wa bei ya vitu mfano sukari mafuta ya kula na vingine vingi sasa sukari inakwenda kg 2500 hii ni halalI?
  3. mathew markus glory

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Rais Magufuli una maana gani?

    Napenda kutoa ushauri kwa watumishi wa umma fanyeni kazi kwa kutegemea kupata mlichokubariana na serikari vinginevyo mtanasa kwene mtego na kujikuta Mko pabaya .AHSANTEN
  4. mathew markus glory

    JamiiForums Tanzania UKAWA:Umeya Dar,ni jaribio muhimu kwenu.

    tuache kujisifia ushindi na kuelezea sifa za chama tunataka kuona kazi siyo marumbano tena tumewapa halmashauri hizo zote ole wenu tusikie migogoro na marumbano tena
  5. mathew markus glory

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Rais Magufuli una maana gani?

    inabidi sasa iwekwe sheria baadhi ya watanzania hawana adabu kila saa ni kumsema tu rais vibaya hilo halivumiliki rais afikilie maendeleo ya watanzania siyo ujinga wen u.
  6. mathew markus glory

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Rais Magufuli una maana gani?

    unataka akutembelee kwenu ndio uridhike hao mawaziri aliowaweka ukiwaona ndiyo umemuona magufuri
Back
Top Bottom