Rais wa Chama cha wanasheria Nchini (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayupo tayari kuwa mmoja wa watanzania watakaohamasisha vurugu au kulazimisha wananchi kutojitokezakupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani kwani yeye hawezi kutumika wakati Maisha yake na familia...
Jicho Langu linaona kwamba, Serikali imefanya mambo mengi katika kuboresha huduma za afya hapa nchini tangu tupate uhuru mwaka 1961. Miaka ya 1960 hadi 1990 Serikali ilikuwa inatoa huduma za kijamii bure ikiwemo huduma za afya. Ilipofika miaka ya 1990 kama ilivyo katika mataifa mengine duniani...
Naikumbuka vizuri sana siku ya tarehe 06/04/2021 ambapo Rais wangu mpendwa Mama Samia akiwaapisha viongozi mbalimbali pale Ikulu yetu, alisema kuna suala la Bima ya Afya kwa Wote, wataalam kaeni mlimalize hili, tuleteeni Serikalini tulijadili ili tuone kama linatekelezeka kwa kiwango gani...
Nikiwa katikati ya harakati za kusaka mkate wangu wa siku, nikakutana na hoja ambayo si tu kwamba ilinichosha bali ilinipa mahangaiko kutokana na UPOTOSHAJI mkubwa ambao ukiuangalia kwa ndani unabaini unafanyika makusudi ili kuendelea kunufaisha wachache na kuangamiza wengi. Habari ya mjini...
Hivi we jamaa unaijua lockdown kweli au unatamani vitu usivyovijua. . . .miezi mitatu unadhani mchezo. Najua utasema mbona Kenya wanaweza. Usipende kuiga vitu kwasababu fulani kafanya. . .bora ujilockdown mwenyewe tu kama ndio unadhani utakuwa salama zaidi
Hawa jamaa wanakimbia kwa mengi. . . kwanza ni aibu ya kushindwa ataishije kwenye jamii?? Aibu ya kuona watanzania wanaendelea na maisha baada ya uchaguzi washachoshwa na harakati uchwara za kuwataka waandamane. Kikubwa ni kwamba hawa jamaa hawana mapenzi na familia zao kwa kuziingiza kwenye...
Na Christopher Mhando.
Wanasiasa wa upinzani nchini wameshatekwa na kuwa corrupted na mabeberu kwa vipande vidogo vya fedha. Haihitaji kupiga ramli kutambua suala hili kwa sababu liko wazi kabisa. ili kuwajua vizuri hawa binadamu, fahamu mambo yafuatayo:
Kwanza, suala la uraia wa Lissu liko...
Hizi ni baadhi tu ya nukuu hizo:
Hakuna taifa lenye haki ya kufanya maamuzi kwa ajili ya taifa jingine ; hakuna watu kwa ajili ya watu wengine. ( Kutoka 'Ujumbe wa amani wa mwaka mpya ,Tanzania, Januari 1968).
Watu wanapaswa kuhusishwa, ili kufikia maendeleo ya kweli. (Julius Kambarage...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.