Recent content by Mathambo

  1. Mathambo

    Naomba kufundishwa namna ya Kutongoza Mwanamke

    Kutongoza si dhambi???....
  2. Mathambo

    IGP Sirro, nakutaarifu Dar na Arusha si salama kwa safari za usiku

    Kwani si wanasema taarifa ni mpaka uende kuitoa polisi,hii ni taarifa gani sasa, wataifanyia kazi vipi wakati hujaenda kutoa kule, serikali haifanyi kazi na taarifa za mitandao. Katoe taarifa polisi na ikiwezekana upate na RB kabisa.
  3. Mathambo

    Kiini cha mahusiano ya CIA na Vatican

    Kumbe Katolic kumbe ni Mnyama yuleee...
  4. Mathambo

    Watambue madalali wa shetani

    Kweli hamumtolei Mungu sadaka...
  5. Mathambo

    Kuna ubaya wowote mtu kumpenda mke wa mtu? Mbona Daudi alimpenda mke wa Uria na akabarikiwa?

    Shetani mzima mzima ndo tunataka kumjadili. Daudi kumpenda mke wa alisababisha kupigwa sana na MUNGU,hata Taifa la Israeli lote pia lilipigwa. Wewe unaechangia angalia jinsi unavyochangia yasije kukukuta kutoka Mbinguni. Ni tahadhari tu.
  6. Mathambo

    Zitto, Kama unataka ACT kiwe chama cha maana, ni lazma ufanye hili.

    Sijawahi kusikia Zitto akipita mikoani kueneza chama chake hususani mikoa ya Kusini yote. Zitto yuko tayari kweli kukipa chama chake nguvu nchini kote?.. Nadhani kuna watu wanasubiri kufikiwa na Zitto au wachama chake. Naona kama kinajengwa ktk kanda yake tu na hapa Dsm.
  7. Mathambo

    Arusha: Nyumba za Kota za polisi zawaka moto mkubwa

    Poleni sana ndugu zangu..
Back
Top Bottom