Recent content by Mateso

  1. Mateso

    JamiiForums Tanzania Orodha ya matukio yaliyotikisa nchi tokea uhuru

    1962 ndo Udsm ilianza Lumumba na faculty of law
  2. Mateso

    JamiiForums Tanzania Maisha bora kwa kila mtanzania ni ndoto kwa mfanyakazi wa bongo

    MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA NI NDOTO MFANYAKAZI WA BONGO Nawasalimu wote mnaoanza kusoma ujumbe huu. Salamu za kipekee zimfikie rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli kwa juhudi zake anazozifany katika kupambana na ufisadi na kupigania maendeleo ya mtanzania na kuja na kauli ya maisha...
  3. Mateso

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Maaskofu wahimize ujenzi wa viwanda vya dawa badala ya kuhubiri mambo yasiyo na tija kwa Tanzania

    Dini yoyote duniani ina kazi ya kuhubiri amani na uchumi kwa waumini wake. Kwa nini? 1. Kila mtu anahitaji afya ya mwili ili aweze kujenga uchumi na afya ya roho. Bila uchumi imara waumini watakuwa wanalia njaa na hawataweza kuhudhuria nyumba za ibada ama kusikiliza mahubiri ya kiroho wakati...
  4. Mateso

    JamiiForums Tanzania Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi

    Hii siyo sahihi kwani huwezi ukawa unajibu chochote kinachoandikwa na mwandishi yoyote wa habari. Kama ni Taasisi yoyote ingekuwa imetoa sawa lakini mtu binafsi kwa kujisikia kwake kuandika alichoona kinafaa kuandika huwezi kumjibu
  5. Mateso

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

    Thread poa ongezea na ya huyu mama Mkenya Stress Management (DR.Roseline Odede) How to Reduce, Prevent, and Cope with Stress If you’re living with high levels of stress, you’re putting your entire well-being at risk. Stress wreaks havoc on your emotional equilibrium, as well as your...
  6. Mateso

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwijage: Ni kweli saruji imepanda hadi kufika 19,000 kwa mfuko. Ni kutokana na kiwanda cha Dangote kukosa umeme

    Bei imepanda huko Mtwara tuu Dsm iko vile vile
  7. Mateso

    JamiiForums Tanzania Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye Kiroba

    Wahi Burundi nchi ya kwanza kwa kukosa furaha duniani
  8. Mateso

    JamiiForums Tanzania Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye Kiroba

    Wakati mwingine tuwe tunatumia busara tunapo-post mawazo yetu huku. Naamini hii Forum wengi ni wasomi wa kutosha na anlytical. Umeambiwa kuwa aliaga kwa ndugu zake kuwa anaenda kufuatilia deni lake. Kwa nini usianze kuuliza kama alimtajajina aliyekuwa anamdai au kwa nini usijiulize kama na yeye...
  9. Mateso

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    sana sana utaishia kunawa bila kula
  10. Mateso

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    mawazo kila mtu anayo hasa tunapomaliza mwezi mgumu wa januari
  11. Mateso

    JamiiForums Tanzania Familia ya Lissu yahofia Lissu kufukuzwa hospitalini

    Msiwe mnapost vitu ambavyo hamna ushahidi navyo. Ukiitwa kutoa ushahidi mahakamani utaenda? Jua wahusika wakipelekwa mahakamani na wewe utaitwa kutoa ushahidi.
  12. Mateso

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa World Economic Forum huwa ni fursa, Rais wetu ameenda?

    Clinton alihudhuria mwaka 2000
  13. Mateso

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Ambaye hatakuwa na kadi ya bima, hataweza kupata huduma ya afya katika hospitali

    Wakazi wa Dar wenye shughuli ya klueleweka ni wachache sana hivyo hili zoezi halitawezekana. Hebu fikiria mhudumu wa bar anahama hata bar 5 kwa mwaka, mmachinga hana makazi ya kudumu. Hawa atawapatiaje kadi? Au atakuwa anawalipia mwenyewe.
  14. Mateso

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

    Kama ni mwalimu kweli atakuwa anawatukana wanafunzi wake
Back
Top Bottom