Recent content by mater peace

  1. M

    JamiiForums Tanzania List ya recruitment agencies Tanzania

    petro.chacha@yahoo.com tafadhali nitumie contact email address ya recruitment agencies zote. ubarikiwe sana mtumishi wa mungu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Rip Celina kombani.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

    Wacha Dr apumzike kwanza. Ikiwezekana akagombee ubunge. Baada ya uchaguzi mkuu tutampa uwaziri mkuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    kamanda lowasa oyee
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kanusho: Aliyepigwa na Ndugai afariki dunia!

    hii habari ina ukweli kiasi gani. weka picha ya mwili wa marehemu hapa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tafakuri Uchaguzi Chalinze; Ridhiwani ameanza kuteswa na vinasaba vya uwongo?!

    this is only possible in Tanzania.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Aina ya Muungano: CCM yatoa waraka kusisitiza msimamo wake ni Serikali Mbili!

    suala la aina ya muungano lirudishwe kwa wananchi kupitia kura ya maoni. hii itasaidia kuepuka mvutano ni kutokana na ukweli kuwa bunge la katiba limegawanyika juu ya hili jambo.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mhe. Sugu Kutunukiwa Phd Ya Heshima Tar. 28/12/2013

    Mimi sioni tatizo Sugu kutunukiwa PHD... Mbona Kikwete na Mrema wamepewa wakati ki-uwezo hawatofautiani na Sugu. Nenda kachukue PHD kamanda Sugu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mungu Yupo: Majibu kwa Wasioamini

    nyie mnaosema kuna mungu mbona hamthibitishi, badala yake mnataka sisi tusioamini kuthibitisha uwepo wake? Thibitisheni kuwa kuna mungu, achaneni na hizo porojo la mleta mada.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mungu Yupo: Majibu kwa Wasioamini

    unaongozwa na emotion zaidi kuliko uhalisia, kama unadhani sijaelewa topic nieleweshe mbuzi. imani zenu za ki-p.umbavu hizo kuwa kuna mungu ndio zinawapotosha. wewe unaweza kuprove uwepo wa huyo mungu? hakuna ushahidi wowote wa uwepo wa mungu wala kutokuwepo kwake....
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mungu Yupo: Majibu kwa Wasioamini

    Hakika hakuna mungu aliyehai wala aliye kufa. Hakuna ushahidi wowote wa uwepo wa mungu, na hata mleta uzi hakuna sehemu hata moja uliyothibitisha uwepo wa mungu pasipo na shaka, zote ulizoandika ni porojo tu ili kutetea unachokiamini. Aidha, kutokuwepo ushahidi kuwa hakuna mungu (no god)...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Muungano wa CUF,CHADEMA na NCCR,Slogan ni Ipi "HAKI SAWA kwa WOTE au PEOPLES POWER"??

    Suala la slogani hapa sio la muhimu... Cha muhimu ni ule ujumbe ambao viongozi wote wa vyama wamedhamiria kuufikisha kwa raisi kikwete na serikali anayoiongoza.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai ajikakamua kujibu tuhuma za udhaifu wake wa kuongoza bunge

    Shame upon Ndugai na maccm wenzake.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai ajikakamua kujibu tuhuma za udhaifu wake wa kuongoza bunge

    Licha ya Ndugai kutumiwa lakini hata uwezo wake ni mdogo sana. Nadhani hata maccm wenzake wanamshangaa kwa maamuzi yake ya ubabbishaji. Kwa hali ya kawaida haiwezekani fujo za namna hiyo zitokee wakati anaongoza yeye tu. Hii inadhihirisha jinsi alivyopungukiwa busara na hekima katika kukiongoza...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai ajikakamua kujibu tuhuma za udhaifu wake wa kuongoza bunge

    Msekwa hana jipya, hakupaswa hata kufungua mdogo wake kutoa maoni aliyoyatoa hapo; asisahau kuwa kipindi chake na kipindi hiki ni tofauti kabisa, watu sasa wana uelewa mkubwa sana jinsi serikali iliyoko madarakani inavyokandamiza demokrasia. Ninamwombea kwa Mungu aishi maisha marefu ili...
Back
Top Bottom