Recent content by matc

  1. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya solutions za matatizo ya automatic gearboxes

    Natumia Sienta ya 2004, imetokea hizi wiki kadhaa inakua Kama Ina mis hivi. Tumebadli pump, plugs, coil na kusafisha safisha vitu mbalimbali lkn ugonjwa haujaisha. Kuna mtu kaniambia tatzo laweza kuwa gear box, sijamuelewa. Sijui inakuaje
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mishahara mipya kwa walimu na kada ya afya

    Nilichokiona Leo nafikiri sio hiki
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Inabd kupga tu zile namba zao mpk uwapate wakusalimie
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Asa mm ni toka ijumaa ilopita
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Asa mm ni toka ijumaa ilopita
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Tuko wengi... Sijui solution tunaipataje
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Nimerefresh kiasi kwamba email ya mwsho inbox kwangu imeingia saa 8.42 asubuhi leo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Nirefresh inbox ya email yangu? Au pale kwenye tangazo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Nimetuma haya maombi ijumaa usiku, lakini sikuona option ya kupakua wala sijatumiwa email yoyote ili nipate form namba moja. Nimejaribu kupiga zile namba zilizotolewa juzi, Jana na Leo muda wote naambiwa zinatumika na nyingine hazipatikani. Nimecheki kwenye spam msgs hakuna, nikaamua niombe Tena...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Naombeni msaada kupata chuo chochote nachoweza kusoma degree ya kwanza ktk IT online ila nipate na ufadhili
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mathematically, haiwezekani kwamba Magufuli ameshinda kwa kura bandia!

    Hiyo sio hesAbu
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vijana bado wana imani na Magufuli

    Acha kutusemea, sina imani nae hata kidgo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwambe: Tusisubiri CCM idhoofike ndio CHADEMA tuonekane imara, tujipange sasa kwa mabadiliko

    Tar 10.12.2019 alisema angeongea na vyombo vya habari, kwani hakuongea? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom