Recent content by matang

  1. matang

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Naomba kusaidiwa kuhusu software nzur kwenye PC
  2. matang

    JamiiForums Tanzania English learning thread

    Hi
  3. matang

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Liberia: Mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa dunia, George Weah akaribia kuibuka kinara wa mbio za Urais

    Follow this group link toget dailly news from tanzania . https//chat, whatsapp.com/GUPWWHSefgH6HWZaxX6wgo
  4. matang

    JamiiForums Tanzania Nichague ipi kati ya kozi hii ya UDSM na SUA?

    Nashukuruni sana wakuu.
  5. matang

    JamiiForums Tanzania Nichague ipi kati ya kozi hii ya UDSM na SUA?

    Mm nimechaguliwa dsm hapo degree ya art in geograph and environment studies, lakin sua degree ya tourism management. Nishauli kuwa nielekee wapi, and nitaweza kuajiliwa maeneo kama yapi.
  6. matang

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Jamani mnisaidie NIT and mzumbe kam washatoa jamani tayari.
  7. matang

    JamiiForums Tanzania ukiandikiwa have multiple selection inabidi uchukue hatua gani

    Atumie email ya chuo kwenda kucornfirm, au aufuate maelekezo ya chuo.
  8. matang

    JamiiForums Tanzania TCU timizeni ahadi yenu ya kutoa majina ya waliachaguliwa vyuo vikuu

    Waaache zao wengne inabdi tujiandae kuhusu maswala ya chuo kwenda , katika maswala ya pesa usafiri , pesa ya kula kabla ya boom.
  9. matang

    JamiiForums Tanzania Siku 6 zimebaki kieleweke selection za vyuo vikuu 2017/2018

    Vp jaman bado selection?
  10. matang

    JamiiForums Tanzania Wakuu kesho ndo ile siku inayosubiriwa kwa hamu na wanavyuo wapya

    nashukuru sana vp samahani kwa kuwa sumbua , naje longistics and transport ina wingo gani wa ajira? namfano naweza kufanya wapi kazi nikimaliza ,naomba kueleweshwa jaman?.
  11. matang

    JamiiForums Tanzania Wakuu kesho ndo ile siku inayosubiriwa kwa hamu na wanavyuo wapya

    jaman naomba kusaidiwa mfano mm nimee apply education na longistc and transport management system wapi ndugu zangu naomba mnishauli sana katika kuchagua wapi niende.
  12. matang

    JamiiForums Tanzania Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!.

    jamani namkubali raisi magufuli sijui nikwasababu anatetea wanyonge, au nikwasababu analinda rasilimali zetu, hapana kwa upande wangu napenda kwakila kitu anacho kifanya maana kinalenga kuinua uchumi wa inchi, lakini kinacho nihuzunisha mm nikuwa , kuna wanaichi watanzania hatutaki kuweka...
  13. matang

    JamiiForums Tanzania Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!.

    raisi magufuli anafanya kazi kinoma hongera zake.
  14. matang

    JamiiForums Tanzania Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!.

    jaman kabla ya kushauli tunakiwa tuangalie tanaka lawatu, kunawatu hawa shauliki hatakama namana gani vip?
  15. matang

    JamiiForums Tanzania Mambo 25+ Magufuli amewashangaza watanzania mpaka sasa

    mnaompinga magufuli , kwakweli mungu awarehemu ,mnahitaji awaletee pesa mkononi ndiyo mumukubali, acheni ushabiki jamani , muheshimiwa anapiga kazi sio mchezo, mungu naazidi kumpa maisha marefu, hata kama sitanufaika mm ,bazi wadogo zangu narafiki zangu , watanufaika kwayo.
Back
Top Bottom