Nichague ipi kati ya kozi hii ya UDSM na SUA?

matang

Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
23
Reaction score
9
Mm nimechaguliwa dsm hapo degree ya art in geograph and environment studies, lakin sua degree ya tourism management. Nishauli kuwa nielekee wapi, and nitaweza kuajiliwa maeneo kama yapi.
 
Wajuz kujeni hapa kijana aende chuo asicheleweshwe na maamuzi
 
Fata moyo ndugu ...Ilihitaji upange hili mapema mno ili kuepuka kuishi mitazamo ya wengine
 
BTM sio kozi ndg. Lakini siku nyngne haya maswali usiulize mtandaoni. This is entirely your life and your future
 
Ajira hakuna mtaani, ila ningekushauri kwenda Chuo Kikuu.
Chuo kikuu kipi mkuu!!?? Hata yeye anataka kusoma chuo kikuu, sasa anaomba ushauri kati ya chuo kikuu cha Dar es salaam UDSM na chuo kikuu cha Sokoine SUA.
 
Soma course ukimaliza unaingia mtaani kuiiajiri
 
Chuo kikuu kipi mkuu!!?? Hata yeye anataka kusoma chuo kikuu, sasa anaomba ushauri kati ya chuo kikuu cha Dar es salaam UDSM na chuo kikuu cha Sokoine SUA.

Mara nyingi sana kozi yoyote ni nzuri kama ukiamua kuwa best, yeye aende kozi yoyote lakini ajitahidi kumaliza na GPA ya level ya juu, otherwise ajira ni ngumu kitaa.
 
Mm nimechaguliwa dsm hapo degree ya art in geograph and environment studies, lakin sua degree ya tourism management. Nishauli kuwa nielekee wapi, and nitaweza kuajiliwa maeneo kama yapi.
Dah ni balaa sema km unaishi dar nenda udsm
 
Mm nimechaguliwa dsm hapo degree ya art in geograph and environment studies, lakin sua degree ya tourism management. Nishauli kuwa nielekee wapi, and nitaweza kuajiliwa maeneo kama yapi.
usipoteze muda hapa JF na siku zinakata,ka com-firm udsm fasta
 
Back
Top Bottom