Recent content by maswisa

  1. M

    Mbowe: Sijakutana na Dr. Slaa huko Marekani na Email zinazosambazwa kudai niliwasiliana naye ni feki

    Big up Muheshimiwa Mwenyekiti Mbowe,katika kutapatapa kwao ,maccm wataropoka mengi.KURA YANGU NA FAMILIA YANGU NI KWA LOWASA,Mzee wa mabadiriko.
  2. M

    Hakuna Demokrasia Tanzania, Wajerumani Watangaza

    ni kweli kabisa hakuna DEMOKRASIA tz,unyanyasaji wa jeshi la police ni wa kiwango cha juu sana.
  3. M

    Mh. Rais, bila shaka utakuwa unaifahamu vizuri historia ya Farao

    Ccm na watendaji wao hovyooooooooooooo!
  4. M

    Mh. Rais, bila shaka utakuwa unaifahamu vizuri historia ya Farao

    ASANTE ,MUHESHIMIWA LEMA,TUKO PAMOJA KUHAKIKISHA CCM INAACHIANGAZI,WAMETUBURUZA VYA KUTOSHA,elimu duni,afya duni,wakulima kutothaminiwa,ndugu zetu albino wanauawa ,wakulima na wafugaji wanauana.SASA BASI NA KATIBA ILIYO CHAKACHULIWA NA MACCM HATUIPITISHI.
  5. M

    Utaikumbuka CCM kwa lipi baada ya 2015?

    CCM ,KWELI KIMEPOTEZA MWELEKEO,MABAYA YAMEZIDI YALE MAZURI KWA ASILIMIA MIA MOJA ,THATS WHY HKUNA ZURI LA KULIKUMBUKA,TAZMA VILE WALIVYO NA DHRAU,MFANO ZURI NI JINSI WALIVO PUUZA MAZURI YOTE MREHEMU BABA WA TAIFA,(TBCccm ina kipindi cha wosia wa baba kila sikulakini hakuna linalo tekelezwa)...
  6. M

    Lema, Nassari kufunika kesho Arusha!!!

    Unauhakika na unacho ongea we magamba.makamanda wa ukweli wamekubarika na wana A town.kaa chonjo.peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz ............
  7. M

    Kwa mateso makali na vikwazo vingi, lakini tutafika na Mbowe!

    WanaCDM tusichanganywe na mamluki tokwa kwa magamba ambao wanatumwa cdm kijanja janja.tuungane,yaani tumebakisha mkia tu tusiachane. CHADEMA CHAMA CHETU, TANZANIA NCHI YETU.
  8. M

    Ushauri: Dr W Slaa bado unahitaji wanawake

    Naunga mkono hoja,chadema isi wadharau wanawake wa kawaida kwani nao wanamchango mkubwa katika kufikia malengo ya kukamata DOLA 2015.nawasilisha.
  9. M

    Kata kwa kata yaimaliza ccm njombe

    safi sana mapambano mbele, big up M4C.
  10. M

    Picha: Nawashukuru sana wanairamba kwa rekodi hii ya jana, Pole sana Dr. Slaa...

    Kweli Mwigulu ni Janga la kitaifa.tusubiri 2015.
  11. M

    Siwezi kuamini nilichoona ziara ya Mbowe mkoani Kagera!

    Peopooooooooooooooooooooooooooooooooooooo POWER.
Back
Top Bottom