Recent content by maswamediacentre

  1. M

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Sijamuona Prof. Lipumba na Dr. Slaa Kulikoni Nape Nnauye. Usitutie ndimu bhana,
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mpinzani wa Nape Jimbo la Mtama Selemani Mathew Luwongo, ahamia CHADEMA

    Kama amezinguliwa kimizengwe, ajiunge ktk jeshi la ukombozi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Mark Mwandosya: Mchakato wa kumpata mgombea urais CCM uligubikwa na utata

    Nitamuona wa maana na mjasiri wa kweli kama atachukua maamuzi magumu kama EDO.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, Anaitwaje?

    Mhyeka
  5. M

    JamiiForums Tanzania James Nsekela na wenzake wawili kwenye listi ya Zitto ni akina nani?

    Amon nsekela, ndiye alikuwa mkurugenzi NBC
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi mwingine auliwa huko Congo

    Kama ni kweli, mtanzania huyo tumuombee kwa mungu amrehemu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya mgombea urais 2015 yaibwa Lumumba

    Mateke ya mwiso ya farasi hayo.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Pollyn Msoffe kugombea udiwani kata ya Mbezi

    Wajanja wote wameihama ccm.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wajumbe Wazanzibar kuizika tena Zanzibar jumatatu

    Watz wanasubiri kura ya maoni,lkn mjue kwamba kura itapigwa kwa ndio au hapana (yaani s2 au hapana, kitus3 hakipo).
  10. M

    JamiiForums Tanzania Balile: Njaa iishie tumboni, ila inapofika kichwani ni shida

    Nitamwambia kesho awaponde ukawa, halafu tuone coments zako.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CCM akamatwa Geita kwa kusaidia kichawi Wakataji Mapanga

    Mwenyekiti wa lichama lao humwita professor maji marefu et ni "mwenyekiti wa kamati ya ufundi". Pengine ni mfumo rasmi ndani ya lichama lao.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu wa Zanzibar ajitoa katika uandishi wa Katiba

    Big up othman
  13. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Kinachoendelea katika Bunge la Katiba ni uhuni

    Ninyi haohao ndio mliotuaminisha kuwa bunge maalum la katiba si la siasa, hoja kuu mnasema kuna wajumbe 201 ambao uteuzi wao haukujali ushiriki wao katika siasa.Mtu akijitambua na kusema ukweli, mnasema mchochezi ukweli uko wapi?
  14. M

    JamiiForums Tanzania NEC kutengeneza vitambulisho vya kimataifa kwa mpiga kura

    Hii imekaa vizuri kweli, kumbe hata nikienda INDIA, MAREKANI AU NIGERIA napiga kura bila matatizo kwa kumchagua rais wa nchi hiyo.
  15. M

    JamiiForums Tanzania NEC kutengeneza vitambulisho vya kimataifa kwa mpiga kura

    Hii imekaa vizuri kweli, kumbe hata ni nikienda INDIA, MAREKANI AU NIGERIA napiga kura bila matatizo kwa kumchagua rais wa nchi hiyo.
Back
Top Bottom