kama ni kweli hao walioiba wanatekeleza ilani ya chama 2015-20. mtoto wa nyoka ni nyoka. kama ni kweli wanaibiana hivyo unafikiri wanashindwa kuiba fedha ya walala hoi?Hotuba iliyoandaliwa na wataalam wa siasa ambayo ilitayarishwa kwaajili ya mkutano mkuu imeibwa na imesambazwa kwa watangaza nia wengi wamekata tamaa baada ya kugundua kwenye ile hotuba mgombea katika hotuba hiyo anaonekana anatokea zanzibar pemba na mgombea mwenza ni mtu wa tanzania bara
Ccm ni prof mwandosya cdm ni Dkt slaa hata mukaague nihaotuu subirini muone
Kama CCM haioni ndani je huyu atakuwa raisi kivipi?kwa taarifa yako raisi ajaye ni lowasa hata wakubwa wote wanajua... hutaki acha
Safi sana ccm kwa kujiua wenyewe.ukileta mzanzibari tu ndo mwisho wako.na si zanzibar tu bali pwani yote.tumechoka na midebwedo khaaHotuba iliyoandaliwa na wataalam wa siasa ambayo ilitayarishwa kwaajili ya mkutano mkuu imeibwa na imesambazwa kwa watangaza nia wengi wamekata tamaa baada ya kugundua kwenye ile hotuba mgombea katika hotuba hiyo anaonekana anatokea zanzibar pemba na mgombea mwenza ni mtu wa tanzania bara
Wallah hakuna nyoka yeyote kule cc mwenye jeuri kwa EDO.fitna yoyote adhabu kwa ccm na thawabu kwa upinzanihata kwenye tatu bora hatakuwepo. Mark my words!
Mada ya kihuni sana hii
Huu ni uongo mtakatifu