Recent content by masungwa77

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali na saluti: Hii tabia Watanzania tulio raia tumejifunzia wapi?

    Kwanini hukuandika alipofanya makonda unangoja mdude apige ndio uropoke
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

    CCM walisha kwisha.tena wamekufa na kuoza.hata akili ndio maana hazipo tena wamebaki na dola la polisi na usalama. Nje ya hapo hakuna CCM.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Polisi mnaokamata gongo hamfanyi haki

    Polisi wetu ni janga ndugu zanguni
  4. M

    JamiiForums Tanzania Watoto Walindwe: Mtoto apigwa kama mnyama, ugomvi wangu ni huyu aliyechukua hii video anaroho mbaya sana

    Aliechukua video yuko sawa ushahidi huo huko mbele
  5. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani ndio unajizika zaidi, umebaki kushadidia masuala ya wanaCCM huku wao wakiwa na matatizo lukuki

    Ukiwa ccm lazima uwe mjinga mjinga sasa huoni rais anaanza kufanya yale wapinzani tuliyasema tangu zamani? Sera ya ccm ilikuwa kufilisi watu kwa kutumia tra
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Ndiye Mohamed O. Mchengerwa

    Hizi sifa utapewa na mhusika ili uje kuhadaa watu humu. Umelipwa kiasi gani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe hamasisha wafuasi wa CHADEMA wafanye shughuii za kiuchumi badala ya harakati zisizo na tija

    Atakuwa ana akili za mat0pe huyo hivi kuna mwana chadema alie pigwa na maisha kuliko hao mbogamboga?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Will Lissu become a Puppet or a Patriot

    s so zxßh tt 4
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya ajali za Polisi

    Ndio maana polisi hawapendwi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: I Am Coming Home

    Hivi huwa unafikirimkuiona pepo kwa roho ya namna hii? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kukutana na Papa Francis, Vatican

    Atakae msaifia mbowe ni Yule Alie mfunga, maana mbowe ingekuwa kesi ya kawaida angekuwa nje au hata asingefungwa lakini kwakuwa ni manduli wa nchi yetu hii ni shida tupu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ndege ndefu zaidi duniani yatayarishwa kibiashara na abiria

    Kwani inazizidi tulizo nazo hapa kwetu? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini mwanaume akikosa hela huwa hajiamini?

    Inamaana kabla ya pesa ilikuwa je ,wanaume walipata wapi jeuri hell hazikuwepo
Back
Top Bottom