Recent content by Masumbwe The Boss

  1. Masumbwe The Boss

    Ushauri: Naelekea kusitisha kuoa

    Ndugu hivi bado hujagundua tu kwamba huyo mwanamke hakufai!! kwa dalili za mwanzo mwanzo ilishagundulika utakuja kujuta sana baadae, endelea kumsikiliza huyo dada nakushauli kwa wema kabisa swala la ndoa na huyo escape kabisa kuanzia leo si tu kwa sababu ya uzazi laa. Matatizo ya uzazi kwa...
  2. Masumbwe The Boss

    Processors(SoC) za simu bora zinazofanya simu kuwa nzuri(2021)

    Sielewi kwanini kuna aina mbili tu za kampuni zinzounda hizi chip za device kama computer AMD Intel, Hapo pamekaa vipi mkuu na ipi ni chaguo zuri kati ya hizo
  3. Masumbwe The Boss

    Binti ijue thamani yako. Hujachelewa

    Hakika ipo kazi, tuombe Mungu atupe mwisho mwema
  4. Masumbwe The Boss

    Mapenzi yanahitaji mchakamchaka

    Nimekuelewa sana sana mkuu ndio maana play boy ana Bamba sana kwa hawa viumbe kuliko hawa wapole wastaarabu cha msingi sio kukalili tyu nikucheza na akili ya kila mmoja wao, mfano unaweza ukawa unampigia simu kila time una invest muda wa kutosha kwake na asijali kbs ukija kunyuti ndo kama...
  5. Masumbwe The Boss

    Rais Samia Suluhu tumsamehe Sabaya, inatosha

    Umetufanyia mengi tutakukumbuka sana sisi tuliodhulumiwa na kupolwa haki zetu hakika ulisimama nasi Biashara za ma gendo zilizo dhulum watu Huku kwetu mkulugenzi na dc wake wanashilikiana kukwepa majukum ww uliweza kumuwajibisha hata mkulugenzi wako! ukatatua migogoro sugu kama ya ardhi na...
  6. Masumbwe The Boss

    Tulifika Pabaya: Mwenyekiti Ulinzi na Usalama Wilaya eti ni Jambazi?

    Roho mbaya kabisa hakika waafrika niviumbe madhalimu kabisa japo si wote Sabaya kakosea wapi!! hii story inanikumbusha sana story ya yesu ama nabii issa kuna mengi ya kujifunza hapa mtu alijitoa kwa dhamila na ushupavu kuwatetea watu kupambana na mambo yaliyokua yanadidimiza ustawi na jamii...
  7. Masumbwe The Boss

    Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

    Japo na mimi ni mfuasi wa mitano tena ila umeongea kweli mkuu hapo nyuma kidogo hawa akina DSTV sijui kina nani hawakutamani hata kujua kama kuna ligi yetu hapa. Walidharau pakubwa leo mtu kaja kaitoa gizani ligi yetu tena kaanzia matopeni kwenye risk kubwa kawekeza pakubwa leo ligi...
  8. Masumbwe The Boss

    Wale wanaosumbuka na kuhalibikiwa vifaa vya umeme

    Giant's pro Electronics niwataalam wenye weledi na uzoefu katika malekebisho ya vifaa vinavyo tumia umeme tunafanya kazi popote tutakapo hitajika na kazi zetu ni za uhakika na uaminifu mkubwa tunalekebisha vifaa vyote vinavyotumika nyumbani officen kanisani miskitini na sehem nyinginezo zote...
  9. Masumbwe The Boss

    Wazazi wa kisasa ni changamoto kubwa sana kwenye malezi

    Nimekuelewa sana mkuu nimejifunza kitu hapa
  10. Masumbwe The Boss

    Wazazi wa kisasa ni changamoto kubwa sana kwenye malezi

    Nimekuja kibiashara hapa mjini kahama nikaona si mbaya nifikie kwa jamaa yangu ambaye tunatoka sehemu mmoja anaishi na familia yake hapa hatimaye nimefika amenipokea vizuri nashkuru ukweli yuko vizuri hongera zake mambo si haba kapanga apartiment nzima anausafiri istoshe ni mwajiriwa wa kampuni...
  11. Masumbwe The Boss

    Audio and Video Transmission

    Mkuu samahan Hakuna njia nyengine affordable zaidi kuliko hii for beginners kwa mtu mwenye budget inayosuasua
Back
Top Bottom