Recent content by Masue 1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    TRASS 4
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana Chief
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je,umri mkubwa ni kigezo cha kupata ajira ya afya na ualimu?

    Ukisoma kanuni za PSRS wamesema kigezo cha umri kitatumika pale Watahiniwa watalingana Marks. Wanaangalia Umri,Jinsia na Ulemavu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kulingana na upepo wa Mikeka inayotoka kwa saa hivi Agricultural engineering wanakimbiza. Hatujui kwa miaka ijayo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hapana. eneo la usahili kuna Computer lab
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hahahaha
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    sam mirror 1 Mzee wa AICC
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ngumu kwaiyo saizi wakati wa kusoma na kupata Update za hizi ajira ndodo Ma - IT wanafanya maintainance?

    Sijawahi ona mtu anarudishwa kisa namba mkuu na inapoendea mambo ya kuandika namba yako yanaisha wote wakishaanza kufanya usaili kidigital.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ngumu kwaiyo saizi wakati wa kusoma na kupata Update za hizi ajira ndodo Ma - IT wanafanya maintainance?

    Majina kweny pdf yana namba lakini sio namba ya Mtihani hiyo namba yako ya Mtihani utaikuta kweny akaunti yako au kweny karatasi ya kusaini kuingia kweny mtihani na kutoka. NB. Kama umeisahau namba usipanic UTUMISHI watakutajia. Best wishes
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ngumu kwaiyo saizi wakati wa kusoma na kupata Update za hizi ajira ndodo Ma - IT wanafanya maintainance?

    Mtihani wa Online huitaji kujua namba cha muhimu tu hapo ni Password na username. Hata ukisahau password utasaidiwa kuipata UTUMISHI wapo fair. Best wishes
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Aptitude test haina haja ya namba Ukisha login utakuta detail zako kweny dashboard.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hahahaha IT ww unaeza fanya jambo ila na wao wamejipanga.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hapana
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Internet ipo vizurii tu ila huruhusiwi ku google. Uki Minimize au ukifungua new tab automatic system ina submit na unakua umefeli.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Internet ipo vizurii tu ila huruhusiwi ku google.
Back
Top Bottom