Nilikuwa siko hewani kwa siku kadhaa.
Nimeona leo nimetagiwa sana na watu wakidai mimi naogopa usaili naomba niwape historian fupi yangu na utumishi.
Mwaka 2022 nilifanya usaili wa utumishi nikakandwa kwa marks kidogo sikufanikiwa kufika Oral.
Mwaka 2023 mwanzoni nikafanya tena usaili nikakandwa.
Mwaka 2023 mwishoni nikafanya usaili katika Taasisi kubwa ya afya nikatoboa Hadi oral.
Hapa kidogo nilaanza kujipa matumaini ha kazi ila mpaka sasa Olaa japo database wanaendelea kuchukua.
Hivyo niwaweke wazi nimeshaandaa module za kutosha nimesharudi shule.
Mimi nilikuwa napinga usaili kwa sababu kadhaa.
Tamisemi walikuwa wanazoa zoa wanajua mishahara yao ni miduchu.
Ila tuachane na hayo watu wa afya tujipange na usaili kwa mimi nishazoea wala siogopi chochote.
Mniombee lakini msisahau.
Usiku mwema