Recent content by Masu69

  1. M

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa Viatu aina ya Buti (Made in Magereza, Tanzania)

    Kwanza nampongenza mleta uzi, japo kwa wachangiaji naona kuna ambao hawakuwa na habari kabisa ya kuwepo kwa kiwanda hiki ndani ya Gereza kuu la karanga Moshi, haya ni baadhi ya matunda ya mwanzo kabisa ya Fikra sahihi za "mwenyeheri Mwalimu Nyerere utuombee" Hebu tujikumbushe viwanda vichache...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Bilionea Dangote akagua ufukwe atakaojenga bandari yake ya kisasa Mtwara

    Hongera Dangote kwa uwekezaji wako nchini kwetu, nina maswali kidogo kwa viongozi wetu hasa TIB na uongozi wa mkoa wa mtwara bila kuwaacha mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) 1. Kwa nini ijenge bandari mpya ajii tu yakpakia Smenti wakati bndari ipo? 2.Serik ya mkoa wakati huyo Dngote anapewa neo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo Majina ya wagombea wa nafasi za uongozi Taifa ACT- Tanzania

    .....Mkuu King Kong III , Zitto atagombea uwenyekiti kwenye ACT- Wazalendo!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Pengo awalipua Maaskofu, asisitiza uamuzi wa aina ya kura ni wa mtu binafsi

    Mkuu Bobuk huyo Papa Francis wa II ni wapi huyo? Papa wa sasa wa kanisa katoliki ni Papa Francis, asante.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni nini?

    Hii kule Uchagani Enzi hizo ilikuwa ni ghala la kuhifadhia chakula hasa mahindi yanapovunwa, huwekwa bila kumenywa na kubakia katika hali hiyo hata msimu mwingine wa kulima hutolewa na kumenywa kupukusuliwa na hatimae kupelekwa mashineni kusagwa na wakati huo kata nzima ina mashine moja ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania William Malecela abwagwa CCM jumuiya ya Wazazi

    Marekebisho kidogo Patien Zero, Bi. Shyrose Bhanji ni Dada wa Jafarai na si alikuwa mke wake. Asante.
  7. M

    JamiiForums Tanzania AZAM MILK, artificial au maziwa halisi?

    Hapa issue ni "HALAL"??? basi nunueni AZAM Milk toka kwa mwenzetu. Hapa pia TBS siwaelewi wanataoa kibali cha ubora kwa vigezo gani hasa? juzi Lactogen maziwa ya watoto yameaadimika mara mmoja maziwa feki zaidi ya sampuli 5 yameingia sokoni sijui yalipita wap na kodi yakalipiwa, Kabla ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

    Princess Diana alianza mahusiano na mtoto wa Bilionea Al-fayed aliitwa DODI. huyu Al-fayed ni Billionia wa London na ni mwarabu, Kilichowaudhi familia ya kifalme wa Uingereza ni pamoja na tetesi kwamba Diana tayari alikuwa na ujauzito wa huyo mwarabu, na ikumbukwe kama mtoto angezaliwa bado...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uchina ndiyo Nchi ya mwisho Kufanikiwa, Tufanyeje?

    Nafikiri mkuu hukuitendea vyema Africa, kwenye kundi la BRICS ni Brazil, Russia,India , China na South Africa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania William Mganga Ngeleja anafaa urais 2015

    Mleta mada nafikiri Tanzania haiwezi kungozwa na mtu mwenye weledi mmoja tu kwemnye eneo moja tu la madini kamaulivyoeleza, tena kwenye madini ya vito ( Tanzanite) wakati unamwagia sifa kwa kutoa hati ya uasili, je? umejishughulisha kidogo kwa kujiuliza pamoja na hizo hati za uasili bado India...
Back
Top Bottom