Recent content by masterpeacemushi

  1. M

    Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    tuache masihara nkm ni jembe tena kuna watu wakisikia unamponda wataandamana.mfano mzuri tu hapa mwanza kuna watu walipangisha maduka ya nhc kwa milio 10,ooo,ooo lkn nhc wanalipa 50,000 kwa mwaka hapo ana milango km 10 lkn alipokuja nkm na amri kwamba aliye dukani ndo atatambuliwa na waripoti...
  2. M

    CHADEMA, Kulikoni Jengo la Ghorofa Lililoporomoka?

    ku..nina zako tena msg kweli kwani we mamako alienda?kikwete alienda hakugeuka nyuma akiwa na mkewe faster wakageuka,mbatia humjui kua kapewa mp na jk hivyo lazima ajipendekeze.kwa taarifa yako ilo pigo limetokana na wabunge wa ccm kuikataa hoja ya mbatia kuhusu elimu na janga linalofuata lazima...
  3. M

    Rais Kikwete awaita Ikulu waliohusika na uokoaji ktk ghorofa lililondondoka

    nyerere alimkataa huyu kikwete maana alijua tangu mapema kwamba wakwere wanasikiliza mno wake zao.ona sasa jk anaenda zake soronera kusalimia ruto alienda kula pasaka na familia yake wkt arusha watu wanapoteza maisha na ilihali dar wanahitimisha zoezi la uokoaji.to him it was very minor issue...
  4. M

    Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    pesa iliopo kwa sasa ni kwa ajili ya kununua vitenge,tshirts kofia na chupi for 2015.chezea ccm weye?
  5. M

    Pale fisadi linapoteuliwa kitata kuwa mwenyekiti wa kamati ya bajeti yetu,wabunge kataeni hii

    ningekua mie ndo mungu chenge angekua hell cku nyiiiiiingi.nchi hii bwana hadi najuta kuzaliwa mafisadi,wala rushwa ndo viongozi wetu wengine elimu zero km mulugo unategemea nini?
  6. M

    Hi ndiyo ilikuwa tofauti kubwa aliyoigundua Nyerere kati ya Mkapa na Kikwete mwaka 1995

    mkapa alikua mtoto wa kiume jamani hata km kuna makosa yeye si mungu.lkn jk mmmmmm""nchi inaongozwa na mama.kwa mara ya kwanza 95% ya wanafunzi kufeli.rais anapenda kujirusha mno ndo maana anajenga viwanja vya ndege wkt tuna kandege kamoja tu kanabeba watu 10 kwenda mtwara hata hamshangai jmn.
  7. M

    Cheti alichotumia Mulugo cha Mhadhiri wa Mkwawa

    tanzania ni muungano wa zanzibar na zimbabwe hiyo inatosha kabisa kua mulugo hana darasa.jamani jana kama cdm ingetaka kuchukua nchi basi ingekua raisi kwani serikali yote ilikua airport ikimuaga mchina jamani ni aibu sana na inatia aibu na inadhihirisha watz tulivyo mambumbumbu.kulikua na haja...
  8. M

    Kamati ya Ngwilizi haijakidhi haja bali imeleta mswali yasiyo na majibu

    tumwachie mungu mambo ya nchi hii jamani maana pressure itatuua.amen.
  9. M

    Hii ni sawa?.

    huyo achana nae haraka sana kabla hajakuchanganya zaidi maana inaonekana umempenda sana ila yeye hayuko tayari.
  10. M

    Ni watatu tu wanaofaa urais 2015

    mie naona wote wanafaa isipokua nchi hii inahitaji mageuzi ya lazima pia nataka niweke wazi tu kwamba lowasa alijisafisha pale dom alipotamka waziwazi kwamba richmond muhusika mkuu ni kikwete yeye alijiuzulu kukinusuru ccm.pia lowasa amezaliwa kwenye familia ya kitajiri na ndio waliomlea kikwete...
  11. M

    Mbeya na Kilimanjaro: Siri ya mafanikio yao ni nini?

    jamani watu msiwe na wivu kiasi hicho kubali msikubali kjro ikoo juu kila sector.mfano mzuri tu nenda machame utakuta bonge la hotel inaitwa aishi hotel ya mbowe ni kali kinoma hata malaika ya mwanza haifurukuti,vibabu vinaishi magorofani,lami mpaka sebuleni na juzi tu kikwete kazindua barabara...
  12. M

    Swali la Shyrose kwa Sophia Simba lazua kasheshe katika Mkutano Mkuu UWT

    hajakomaa amekua ndizi huyo shyrose?ccm uliza swali msingi uone cha moto si mmeona kwa kina pina na filiponjombe.ukiwaona hao majimama yalivyojipodoa utafikiri majini.wanajali tu matumbo yao hata kujibu maswali ya msingi wanashindwa;na huyo professor wa kihaya kwa nini abague maswali?haukua...
  13. M

    Wanaoleta vurugu za kidini wanadekezwa

    hawa waislam washatuzarau siye wakristo kwa sababu tu ya elimu yao ndogo ya madrasa lkn mwisho wao unakaribia ukizingatia hawafiki hata laki tano nchi mzma.wameshaona nchi ni ya kwao kisa baba mwenye nyumba ni wa kwao uvumilivu utatushinda bwana.
  14. M

    Kifo cha RPC Mwanza: Maswali ya Bei Mbaya...

    tusubiri ukweli jamani maana kifo hakibeep
  15. M

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    tunasubiria nchimbi aunde tume haraka kubaini waliohusika na mauaji ya kamanda barlow
Back
Top Bottom