Shida Iko Hapo. Ukimskiza Peter Tosh, "Equal Rights & Justice, Anasema, Nanukuu " Everyone Wants To Go To Heaven But No One Wants To Die". Sasa Utaendaje Mbinguni Bila Kufa? Wabongo, Blacks, Hatuko Tayari Kutetea Maslahi Yetu Kwa Nguvu Maana Tunaogopa Kupigwa, Kuswekwa Ndani Na Kuuwawa. Sijui...
Kwa Hiyo Anatupiga Fix?
Wabongo Shida Yetu Hatuko Wazi. Ingekuwa Kwa BIDEN, Unamteua Mtu, Unampa Taarifa Anakuambia "I'm Delighted, No Thanks" ... Bongo Sasa
Nazan Kwenye KATIBA Ya Jamhuri Ya Muungano Wa Tz, Ya 1977, RAIS Hashtakiwi.
Awe Yuko Madarakani, Au Ashaacha Muda Wake. Ni Suala La Hovyo KABISA. Kama Alivyofanya MAGUFULI, Aliikanyagakanyaga Na Kuipondaponda Alivyotaka Na Hakukuwa Na Wa Kumuuliza, Sembuse Kumwambia Kitu. NCHI Ya Hovyo KBS Hii
Hakunaga anayezidi Kila idara!
1. Mwenye pesa, hajui/hawezi kitandani
2. Anayeyaweza Kitandani, hana pesa
3. Anayeyaweza, Hayuko Romantic, very rough!
4. Anayeyaweza, Sio Reasonable! Loving! Hana Elimu, Impatient!
5. ..
6. ...
7. ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Mkali, Hii Ni Special Case. Serikali Awamu Ya Hamsa, Naishangaa...
Inajisifu sana, lakini, mbona chaguzi hizi huku serikali za Changanyikeni Wamecheza 'Takle From Behind', Still kipenga hakijapulizwa, na no red-card offense?
Au ndio walichoambiwa walivyoitwa IKULU? Ahsante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.