Recent content by MasterGamaliel

  1. M

    JamiiForums Tanzania R.I.P JPM, i used to hate u but now im even in darker room,I cry bitterly when I see JK,RM,Samia and Abdul.

    Watu wa Usalama, wanapaswa kuiishi kanuni ya rafiki mkuu, aliye tayari kuutoa uhai wake kwa ajili yenu. Bahati mbaya hakuna wa aina hiyo kwa sasa katika duniani hii.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawapongeza wanawake wote ambao husimama kidete waume wao wanapopitia nyakati ngumu za kiuchumi

    Mwanaume au hata mwanamke yeyote uwe na level ya mwisho ya uvumilivu, kifo isiwe ndio level (total failure) yako ya mwisho. Unaweza ukadakwa na kamalaika kadogo tu kakakubariki moyo wako wote.
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawapongeza wanawake wote ambao husimama kidete waume wao wanapopitia nyakati ngumu za kiuchumi

    Ni pongezi nzuri kwa mbele. Akuheshimu hivo ila yeye asiwe business ya kutengeneza unafuu huo. Utawaishwa mavumbini. Dunia ngumu sana hii.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka vita ya siku 12 kati ya Israel na Iran nacheka sana

    Sina upande wowote lakini aliyenianza kunipiga nikianza kumjibu kwa kipigo siwezi acha kuendelea kumponda, Sasa hili swala la Iran kuacha kuendelea kumpa kipondo Israel kirahisi rahisi wakati amepotezq viongozi wengi wa kijeshi chini kwao, bado haisomi!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

    Katika kitabu cha Kutoka 3:5, Mungu alimwambia Musa: "Usikaribie hapa, vua viatu vyako miguuni, maana mahali unaposimama ni ardhi takatifu." Kwanini basi Wakristo wa leo hawatii agizo hilo la kuvua viatu wanapoingia kanisani, ilhali Musa aliambiwa hivyo? Reference imeisha hivo?!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimeuliza ChatGPT kati ya uslam na ukristo ikaleta majibu haya

    Paragrafu hiyo ya kabla ya paraghrafu ya hitimisho kwa aulewa wa sisi wote imemaanisha Kuna kuikubali dini kwa akili za kawaida, human directives and assimilations, na ya nyingine Kuna kuikubali dini kwa neema ya Mungu, yaani huwezi kuuelewa na kuupokea ukristo bila Upendo wa KRISTO. Kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

    Huhitaji kumfuata Mungu, Mungu ana watu wake.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mimi Kibori Nangai naamini hadi leo January Makamba na Stephen Biabato wakiwa mawaziri kuna kitu walifanya

    IVI MWANASIASA AKIKOSA JUKWAA ANAWEZA KUNG'ARA TENA?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nina leseni ya driving gari ndogo (sio class C) na nime-renew tangu 1990, leo hii nakataliwa ku-renew eti sina cheti!

    Na mwenye juu Kwa juu akapata lesseni, ikifikia ahitaji cheti anafanyeje ili apate chet, kumbuka tayari anasomeka kwenhe mfumo ana lesseni, na ili uanze mafunzo lazima ukaombe (ukalipie) TRA provisional driving licence, kwa case hiyo anasaidiwaje?!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Marais wa kiislamu wanapenda kuacha mizizi ya vizazi vyao kwenye madaraka, wakristo wamelala sana au ni hekima ?

    Wakristo ni Wabinafsi na Wakabila sana, Hilo ndio Tatizo kubwa, hawana undugu wa kiimani. Maana ya Hilo la udugu wa kiimani. Chukua situation ya walokole wawili waishio mjini na walokole wawili majirani waishio kijijini. Nisingependa kutumia mfano wa wakatolic waishio mjini vs wa vijijini kwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna mtu huu mwaka utamwishia vibaya sana

    A Awamu ya Urais ni independent, haiendi na mtu, ila Rais wa (#6, awamu ya TANO inawezekana), awamu inaenda na Maandalizi ya ilani za Chama kwa awamu 1 yenye miaka 10 ikiwa na mihula 2. Tusipotoshe jamii kwa uelewe potofu wa mtu mmoja hata kama ni mkubwa!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polepole halioni hili? Ni makusudi au bahati mbaya?

    Hoja hii ni sahihi, Maana inalenga kumpa Rais anayemalizia muda wake kwa kukaimu, Ashiriki na wengine angalau watano au zaidi kuomba ridhaa ya chama kuweza kunadi sera mpya za awamu mpya ya Sita yenye miaka 10 ijayo, Sasa kwa kigezo hicho Samia aruhusu chama kiandae sera za kunadi kwa ajili ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Irani hakutumia Ndege vita Wala wanajeshi kuenda kuenda kuichapa Israel

    Ukiacha mahaba ya dini ni kwamba kwa Iran Kupeleka ndege zake Israel kungitia hasara Iran! Ndege zake nyingi zingeshambuliwa njiani kwa sababu mataifa mengi ya waarabu hapo mashariki ya kati yalimruhusu Israel kutumia anga zao lakini sio Iran. Israel alizipunguza air defence system za Iran...
Back
Top Bottom