Recent content by Master b

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya ada shule za binafsi: Hatimaye kilio cha walimu wa binafsi kusikika

    Hicho ulichoongea ni sahihi kabisa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Pombe futa Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma

    Hakuna chombo kizuri kama psrs,kimesaidia sana vijana kupata ajira,vijana wanapata ajira bila rushwa kabisa.Nenda kwenye halmashauri zetu,kuna baadhi ya ajira zimerudishwa huko kama hula hela huezi kupata ajira.mfano kuna nafasi zilitangazwa halmashauri ya magu za utendaji ili upate unaambia toa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama yake kipenzi Ladydoctor amefariki dunia

    Pole sana doctor
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Usingizi baada ya penzi

    Mimi ni mwathirika wa kufanya mapenzi wa usiku,i la nikimaliza tu kupiga bao moja, usingizi huwa unapotea kabisa. Hivyo naombeni msaada nifanyeje ili niwe napata usingizi baada ya kupiga bao.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kununua gari.

    Labda kama sikuelewa,ninamaana ya kadi ya gari(motor vehicle registration card)
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kununua gari.

    Hiyo gari inauzwa mil 19 toyota rush ya mwaka 2006
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kununua gari.

    Nataka kununua gari kwa mtu,ni njia gani nzuri kisheria itakayonisaidia ili hiyo gari niweze kulimiliki.Nimeenda kuliona gari ni zuri,muuzaji kanipa namba ya akaunti nikalipie benki,wasiwasi wangu mkubwa ni kwamba je nikienda kulipa halafu asipe blue kadi nitafanyaje.Naombeni mnisaidie utaratibu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Unataka nyumba/kiwanja, hakikisha haya kisheria usitapeliwe

    Du hii elimu nzuri sana.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada ndugu zangu

    Ungekuwa wazi nafikiri hilo ombi lako lingesikilizwa,inavyooneka wewe siyo muwazi unaposema chuo kimoja dar unakuwa na maana gani?taja chuo na jina lako kamili ili upate kusaidiwa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Mipango

    hilo haliwezekani,labda wewe ukiingiziwa mkopo,ukauchukuwe na kulipa mwenyewe.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nusrat Hanje: Viongozi wa CHADEMA hamjamtendea haki huyu dada, amedhurumiwa na hii si sawa

    Jamani makamanda tusiwe wepesi wa kulaumu,kwani Nusrat yeye kazaliwa kuwa mbunge,hebu tuendelee na kujenga chama,ili hivyo viti 3 vilivyobaki kwa mujibu wa tume ya uchaguzi,tukifanikiwa nusrat lazima kiti kimojawapo anaweza kupata,hivyo tuongeze bidii ili tuweze kunyakuwa majimbo yote 8 yaliyobaki.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kyela yazizima: Wananchi waandaa mkesha wa mabadiliko

    Nipo hapa kyela usiku huu ni shida,watu wapo wengi sana kwenye hivi viwanja vya Tacoshiri karibia kabisa na ofisi halmashauri.kwakweli ushindi kwa mwanyamaki na mzee edo ni asubuhi na mapema
  13. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Lowassa afanya kufuru Babati Mjini

    viva lowasa,ushindi ni wako
  14. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa Apeleka Katrina Babati. Mji Wasimama

    Viva Lowasa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sababu 31 kwanini Magufuli hawezi kuwa rais wa Tanzania

    Hongera kwa uchambuzi.
Back
Top Bottom