Recent content by massay100

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mtu mwenye tsh. 200,000/- hii hapa hela ya bure tsh. 347,200/- kwa sekunde tu

    Hivi bado upo humu?? Maana ulituahidi utaondoka
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vikwazo vya Marekani vyaanza kuuma, Apple kuhamisha 30% ya uzalishaji wa Iphone kutoka China.

    So nusu ndugu, wachina ni1/6(moja ya sita) ya watu wote duniani.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

    Unataka uoe check number
  4. M

    JamiiForums Tanzania Taja mkoa ambao hujawahi fika na huna mpango wa kufika na unajutia kufika mkoa gan

    Mwanza, pabaya sana aseh, wakazi hawajaelimika bado wanaendekeza mila zilizopitwa na wakati
  5. M

    JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga!! Tubaini Nani zaidi

    Makombe 27 kwa 20 kaka VP unaweza ukawaita wachawi kwel?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga!! Tubaini Nani zaidi

    Nmepita mtaani watu wanabishana kwel kuhusu simba na yanga Baadhi ya point za wanayanga ni km HV 1.Yanga ni klabu kongwe kuliko simba Maelezo. Mungu alianza kumuumb mwanaume Adam na akafata Eva.Hivyo basi Yanga ilianzishwa 1935 na simba 1936 kwa hiyo baba na mama wa klabu zote ligi kuu tz...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kulipa nikulipe nini? Wakati mkeo kaleta shobo mwenyew nikamla!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukikataliwa ni moyo tu sio mapungufu yako

    Ukinikataa Mimi ni kama vile unampiga chura teke!!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kauli hii nayo imebagua walemavu

    Mapinduzi ya kisiasa yalishafanyika, tukapata Uhuru enz za nyerere, karibuni kwa pamoja tufanye mapinduzi ya kiuchumi.Siasa waachieni Mbowe na Makonda
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tukio la udhalilishaji wa kijinsia na kukatisha ndoto ya mtoto wa like kupata elimu

    Kama vipaji wanavyo nawakubal sana ila uelewa kuhusu elimu upo chini San.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tukio la udhalilishaji wa kijinsia na kukatisha ndoto ya mtoto wa like kupata elimu

    Uliposem ni kazi, nlishndw kukuelew kwmb ni kazi kupata kujiendeleza kw huo ufaulu au alifany kazi kubwa kupata huo ufaulu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tukio la udhalilishaji wa kijinsia na kukatisha ndoto ya mtoto wa like kupata elimu

    Unamaanisha nn kuhusu IV ya 29 cjakuelew
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tukio la udhalilishaji wa kijinsia na kukatisha ndoto ya mtoto wa like kupata elimu

    So kwel ndugu she is just my friend!!Kwa mfn Ningejitokeza kumuoa sidhan km ningepata ushindani kutoka kwa huyo jamaa.Yote ya kwel sijakudangny
Back
Top Bottom