Simba vs Yanga!! Tubaini Nani zaidi

Simba vs Yanga!! Tubaini Nani zaidi

massay100

Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
26
Reaction score
12
Nmepita mtaani watu wanabishana kwel kuhusu simba na yanga
Baadhi ya point za wanayanga ni km HV
1.Yanga ni klabu kongwe kuliko simba
Maelezo.
Mungu alianza kumuumb mwanaume Adam na akafata Eva.Hivyo basi Yanga ilianzishwa 1935 na simba 1936 kwa hiyo baba na mama wa klabu zote ligi kuu tz utakuwa umezipata kwa kigezo cha umrii
2.Yanga inamakombe mengi ya ligikuu zaid ya simba
Maelezo.
Sikio haliwez kuwa kubwa kushinda kichwaa.
Walibishana kwa hoja na points za simba nimezisahau kwa kuwa hazina mantiki.
 
itakuwa mazwazwa ya jangwani pale yalikuwa yanapeana moyo na wewe ukayasikia kwa bahati mbaya..... yanga ni wachawi sana na mazwazwa kabisa tena mapunga makubwa.
 
itakuwa mazwazwa ya jangwani pale yalikuwa yanapeana moyo na wewe ukayasikia kwa bahati mbaya..... yanga ni wachawi sana na mazwazwa kabisa tena mapunga makubwa.
Makombe 27 kwa 20 kaka VP unaweza ukawaita wachawi kwel?
 
Back
Top Bottom