JF and family,
The motion in place seems to be touchy and educative only if it was in a common man's language.
Seemingly as it may come to your understanding, Mr. Rutashubyanyuma has dominated the debate hence leaving most of the common people unaware of its direction. This being the case, I...
Hay Mr. Ruta, I did n' t mark it was you! Sorry for responding in a language that you don't know. In fact the quotation took me by surprise thus failing to notice who was in the arena, in front of your wife!
I will come to it later than sooner!
Take care!
Huhitaji kuiambia jamii ikuenzi pale utakapokuwa umepokwa uhai wako na serikali (serikali gani na kwa kipi?). Hata hivyo kauli yako si ya kishujaa. Ni kauli ya woga au ya kujihami!Mtu mwoga hufa mara nyingi kabla ya kifo chake ( a coward dies many times before his death - stay calm).
Kama kuna...
Wasistaajabu! Nchi ndio inasafishwa. Najua wao wana mbinu nyingi za kufanya usaili (screening). Waambie watupe mmoja ya mbinu zao zilizowafanya wasiwe na wenye vyeti feki.
Kumbuka ni hatari kubwa kuwa na watu wasiokuwa na elimu juu ya fani fulani nyeti halafu ndio watoa huduma! je inamaana wao...
Kwenye midahalo bila kujali mada ilitayarishwa (prompt) au haikuandaliwa (impromptu) kuna suala la kukubaliana na hoja (crossing the floor).
Sio kila wakati lazima upinge kila mjadala hata kama una hoja dhaifu! Ni sawa na masumbwi. Mwalimu akiona mpiganaji wangu ataumizwa zaidi, hutupa taulo...
Wana Dar Es Salaam, jaribuni kuwa wapole. Dar Es Salaam inahitaji watawala kama Makonda. Sina uhakika kama kweli huyu bwana hapendwi kiasi hicho hasa na watu wasiopenda maovu. Tafadhali msifiche maovu yenu au kuyaahirisha kwa kudhani kwamba Makonda atatoka huko. La msingi ni kumpa ushirikiano...
Watu wengine bwana. Nashukuru kwa kufurahisha genge. Ama kweli duniani kuna mambo!
Wakati mwendesha gwaride anaamrisha shoto, kulia, wengine wanatembea kulia, kushoto!
Rafiki, una maana yule mama aliyeumizwa hana haki ya kusaidiwa na vyombo vya sheria?
Tusiwe wepesi wa kutafuta visingizio. Wakati mwingine hebu tujaribu kuachia sheria zichukue mkondo wake. Aidha naamini kwamba yeye anajua mlango wa kukanushia kuliko wewe!
Subiri!
Wanasheria mnisaidie, kesi kama hii katika mahakama hii ya Afrika huwa ni kwa ajili ya kuangalia sheria kama ni kandamizi na kuagiza nchi husika kufanya marekebisho au hata kesi za rufaa za jinai dhidi ya serikali husika?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.