Recent content by massai

  1. M

    JamiiForums Tanzania TAMKO rasmi la Ndugu Zitto Z. Kabwe kuhusiana na kinachoitwa "Taarifa ya Siri ya CHADEMA"

    zitto hawa mafisadi wanajaribu kupoteza lengo. wewe pambana mpaka mpaka mwisho
  2. M

    JamiiForums Tanzania TAMKO rasmi la Ndugu Zitto Z. Kabwe kuhusiana na kinachoitwa "Taarifa ya Siri ya CHADEMA"

    zitto hawa mafisadi wanajaribu kupoteza lengo. wewe pambana mpaka mpaka mwishoew
  3. M

    JamiiForums Tanzania 2015 uwe mwisho wa CCM kunusuru tembo wetu

    kuna aina ya ndege nasikia wameshatoweka. kule lake eyasi kuna ndege ambao hawapo sehemu yoyote duniani nasikia ni dilli kuliko hata tembo nao hawaonekani tena. e
  4. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani wa CCM kwenye Jimbo la Mizengo Pinda ni majangili

    hata lukuvi ni jangili..fuatilia bunge usikie. huko karatu mwenyekiti wa sisiemu alishakamatwa mara kibao na Chadema walisha toa ushahidi alakini hakuna hatua aliyochukuliwa. kinana live meli yake imekamatwa alakini kutokana na upofu wa masisiemu basi hilo sio tija. tembo wanaisha jamani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwigamba hatahama CHADEMA kirahisi!

    akaungane na kina mwampamba na shoza..... hana vision ndio maana yaliowakuta wale madiwani na yanayoendelea kwa shibuda kwake sio simo. he iz very chip.we dnt need him anymore.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    unaupofu wa kukubaliana na ukweli na hali halisi. alakini ni kawaida ya baadhi yenu..... angalia zanzibar wanavyojitahidi kufuta historia kua Tito Okelo hawezi kuwepo katika historia ya zenji kisa ni mkristo....hii imani yenu inawagharimu sana, ndio maana nchi zote za dini yenu ni vita,mabomu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya majaribio Tanzania

    kama una ndugu yako mwanajeshi mwambie akumegee siri. yanatoka yakumwaga alakinii kunajimeli lakizungu linapeleka sample kilasiku ulaya. huko hata waandishi wa habari hawaruhusiwi kufika...usafiri wa huko ni chopa,hata mitumbwi ya wavuvi hairuhusiwi shamba la bibi hili jombaaa....
  8. M

    JamiiForums Tanzania LOWASA avamia tena eneo la shirika la reli karibu na NMC

    Kama ijulikanavyo kua Lowassa anamiliki kiwanda cha usagishaji cha Arusha visivyo halali.Serikali inalijua hili na inalifumbia macho,mbunge na madiwani wote wanalijua hili lakini hakuna anaechukua hatua zozote .Leo Lowassa amevamia eneo la shirika la reli na kulifanya sehemu ya kuoshea magari.je...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Shangali alimvua ubunge Kafumu kwa sababu ya kuwa na undugu na Mbowe?

    jiulize kwanini MBOWE alikulia ikulu?? jiulize mahusiano ya MBOWE na familia ya Mama NYERERE.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ampiga Mchumba wake hadi kumuua

    ahahaaa......hili lijamaa linaonekana jeupe mno,unaweza kuta pia haelewi hata unaemzungumzia ni nani. ndio maana kwenye reseach yangu ndogo niliyoifanya nimekuja gundua kua watanzania wenye kujitambua kwenye watu mia sabini ni kanyaga twenda. ipo kazi mpaka tufike kwenye mageuzi ya kweli.kina...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ampiga Mchumba wake hadi kumuua

    ....duh.! inasikitisha sana.mitungi pia itakua inachangia, hapo Karatu matukio ya kutoana roho naona imekua too much sasa, last time nakumbuka jamaa aligombana na mkewe akamuu then akaua na wanae watatu. R.I.P mchumba wa babu very.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanaoipigania CHADEMA ni wale wavivu wasiopenda kufanya kazi-Malibwa(udsm)

    anatia aibu huyu mse.nge sijui anafundisha nini huko chuoni
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msafara wa jaji mkuu wasababisha ajali ya bodaboda arusha.

    huyu jamaa wanasema ni mshirikina sana,sasa naanza kuamini.
  14. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kampala mayor Erias Lukwago 'beaten by Uganda police'

    R.I.P meya. nilidhani yule wa kichina pale chuga.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke maneno ya baba wa taifa 1995 "Siwezi kuiacha nchi yangu iongozwe na mbwa"

    i cant leave my country with a DOG. alikua anamaanisha hawezi achia nchi kwa watu kama jeikei na pinda. hakua anamaanisha Lyatonga au wapinzani. ona hawa watu kama hawastahili hivyo vyeo ,angalia Nepi,Chemba,yule sokwe wa Gombe,mzandiki lukuvi na timu yao yote. RIP mwalimu.
Back
Top Bottom