Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
Msafara ulikuwa unatokea barabara ya nairobi sakina pale moravian ambapo dereva wa boda amevunjika mguu na pikipiki yake imeisha kbs ambapo pikipiki ya polisi iliyokuwa inaongoza msafara baada ya kugonga yenyewe imeinuliwa na kuendelea na safari.