Well said. Ila kwa nini Kila ukijitahidin kuigiza vijotabia hivi baadae unashindwa. Kwa mfano kwenye kuweka malengo utaweka malengo, ila ila ikifika kwenye kujikumbusha malengo unasahau?
Je biashara yoyote lazima ufanye market test,? Vp kuhusu zile za uzalishaji ambapo mpaka miundombinu ya uzakishaji ikamilike ambapo utakuwa tayari umeshaanza uwekezaji.
pia Kuna biashara nyengine ni ngumu kupata taarifa za Siri ya biashara kutoka Kwa wazalishaji wengine au wateja au wauzaji. Je...
Hii ni idea nzuri, ila umeshawahi kuona sehemu wanauza nyama choma sungura na biashara imesimama. Mtoa mada anataka kujua ufugaji wenye uhalisia zaidi.
Mkuu hii jambo unalodoubt ni kweli tupu. We unadhani tumeumbwa duniani kufanya mchezo tu.
Lazima tumtukuze Muumba na tutarajie malipo jwa mambo yoyote tunayoyafanya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.