Recent content by Mass bissness

  1. M

    Kijana unayehangaika kutafuta mchongo wa kufanya pitia hapa, utakuja kunishukuru

    Mkuu tupatie no. ya jamaa huyo wa Biharamulo wengn tupo karibu na hiyo wilaya akatupe hata uzoef tu inatosha!!
  2. M

    Kijana unayehangaika kutafuta mchongo wa kufanya pitia hapa, utakuja kunishukuru

    Mkuu Incredible Terminator samahani vp bado tunafatilia kwa ukaribu zaidi hatujakata tamaa na kupambana tupe michongo brother!!
  3. M

    Jinsi ya kuepuka kupigwa na mawinga Kariakoo

    Mkuu habari, hatimae tumekutana tena huku japo lengo la kufungua huu uzi ni kutokana na ile thread yako ya nyuma kdg, maana nipo nafatilia kwa ukaribu zaidi, Baada ya ukimya kwa muda mrefu hukuweza kujibu, Samahani mkuu unaweza kunielekeza kwa yule Mwarabu ulipokua unaenda kuchulia bidhaa...
  4. M

    Yafahamu magari ya maskini na matajiri

    Hivi Brevis nazo ni za maskini siyo?? Hebu leta evidence hata moja kwa maskini anaemiliki Brevis,🤭🤭🤭🤭 au anatafuta kuilaza njaa tu familia yake!!
  5. M

    Kukaa Kijijini ni kufeli maisha

    Mkuu umesahau na mkoa wangu pia Manyara, macharlee wakiivisha vitunguu ni shida hizo Jogoo wanakunywa Kama maji
  6. M

    TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

    Mungu amlaze mahala pema peponi,R.I.P Didah
  7. M

    Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Hapana Mkuu me sipo Dsm nipo Arusha now, yaani nilimaanisha umbali wa Mpanda mjini to Mwesse no.4, naweza kwenda na kurudi kwa pikipiki, maana naskia usafiri ni shida hivyo nataka nije na boda yangu kabisa ya kukusanyia mazao, ila boda nitasafirisha kwa gari ili inirahisishie shughuli zangu, na...
  8. M

    Ujumbe muhimu kwenu mnaochelewa kutafuta watoto wakati uwezo mnao

    Mkuu wazazi wengn ni shida hasa ukute ma bro zako hawajaoa ni kimbembe aisee Hadi unajiuliza kwani matumizi watakuwa wananipa wao, yaani wanakuchulia Kama mdogo kiumri na kiakili pia.
  9. M

    Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Mkuu vp huo umbali unaweza kwenda kwa pikipiki kwenda na kurudi au ni umbali mrefu Sana!
  10. M

    Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Mkuu Kwan kutoka Mpanda mjini mpaka Mwesse no.4 nauli ni kiasi gani
  11. M

    Kijana unayehangaika kutafuta mchongo wa kufanya pitia hapa, utakuja kunishukuru

    Mkuu hebu zitaje hizo bidhaa alizosema zina faida kubwa ni Kama zipi, taja item Kama 10 tuu! Pamoja na Bei zake za kununulia na kuuza, maana naona hela yote inaishia kwenye mafuta, service na kula tu bhc!!
  12. M

    Nimefika Katavi na kujionea jinsi watu wanavyotajirika kupitia Kilimo

    Mkuu hivi Mwesse nina sikia ina no mwisho no ngapi kutoka no 1 Hadi ngapi??
  13. M

    Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Mkuu yaan Mungu akijalia nitakuwa huko mwaka kesho mwanzoni
  14. M

    Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Wakuu tupeni mrejesho Bado tunafatilia kwa ukaribu zaidi mwezi huu linatoka zao gani hapo Mwesse no.4 na maeneo karibu na hayo!
Back
Top Bottom