Hii Nime Ikuta Maeneo Ya Majengo Tanga:jamaa Amekuta Watu Wanapiga Stori Si Ndo Akaenda Kukaa Na Yeye Asikilize Umbea Basi Jamaa Wote Wakanyamaza Na Kuanza Kuondoka Mmoja Baada Ya Mmoja Kuja Kushtuka Ame Kaa Peke Yake Hakuna Tena Wenzake! Unajua Kilichn Endelea Coment Kwanza Halafu Nita Malizia...
Hivi Kati Ya Hawa Nani Atakae Jilaumu Hapo Baadae 1:anae Jitahidi Kufanya Ibada Yani Kwenda Kanisani Au Msikitini Halafu Akifika Huko Kwa Mungu Asimkute Au 2:anae Amini Mungu Hayupo Akahadaika Na Starehe Za Dunia Halafu Akaenda Kumkuta Mungu Yupo Wakati Hajajiandalia Lolote?. Toa Maoni...
Eti Utasikia Ooh! Serikali Tatu Ni Gharama Kwani Kama Mke Umemshindwa Si Bora Ukamuacha.Zanzibar Hatutaki Serikali Mbili Kama Mumeshindwa Kutekeleza Matakwa Yetu Si Bora Muka Tuachia Nchi Yetu Tuka Weza Kuji Ongoza Wenyewe Au Sababu Mume Ona Mafuta Ndo Muka Ona Tutapata Sana Tupeni Talaka Yetu...
Tatizo Langu Ni Kuwa Na Uvimbe Mdogo Kwenye Koo Ambao Nime Dumu Nao Kwa Muda Mrefu Na Isitoshe Hauja Wahi Kuniletea Matatizo Yoyote Mpaka Sasa Kama Kuuma Nk Naomba Msaada Wa Kujua Kiundani Tatizo Langu Pamoja Na Njia Ya Kutibu Mana Naogopa Kukaja Tokea Matatizo Mengine Baadae Nb:nilikosea Mara...
Tatizo nina uvimbe mdogo kwenye kon ambao nime dumu nao takriban miaka minne sasa Lakini haupungui wala hauzidi isitoshe bado hauja wahi kuniletea matatizo yoyote kama vile kuuma Nk. Kwa hiyo naomba msaada kujua tatizo langu pamoja na tiba yake isije kutokea madhara hapo baadae.
Habari Wadau Mimi Tatizo Langu Kila Ninapo Ingia Jf Nakutana Na Maneno Haya Hapa"the Forum And Server Timezone Have Been Corrected As They Were Set Correctly In The Imprope Time To You The End User Please Set Your User Preference In Your User Cp---"naomba Msaada Coz Mi Ni Mgeni Jf Then Language...
Eti Jamaa Mmoja Muongo Kupindukia Halafu Msahaulifu Alikuwa Anastorisha Wenzake Mambo Yakawa Kama Ifuatavyo Jamaa:"wanangu Leo Si Nimekwenda Porini Nikakutana Na Swala Nikamkimbiza Nilipo Mkamata Nikamlaza Chini" Baada Ya Kuongea Hayo Simu Yake Ikaita Na Alipo Maliza Kuongea Na Cm Mambo...
Mwambie Asi Take Kuleta Siasa Za Kifalme Atuachie Upuuzi Wake Mana Huo Ni Upumbavu Wanataka Nchi Yote Iwe Mikononi Mwao Halafu Wakikosea Wata Hukumiwa Na Nani?Heau Wananchi Pigeni Kura Kwa Mgombea Mwengine Tuone Atakavyo Tahayari Mtu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.