Recent content by Masokotz

  1. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

    Uliyoandika yote ni point isipokuwa tu hapo uliposema kwamba NMB haiji kufilisika.Labda ni kusaidia kufahamu kwamba NMB inaweza kufilisika.Ispofilisika kwa sababu ya Mabadiliko ya soko itafilisika kwa sababu ya uzembe(complacency),Ama la basi itafilisika kupita Natural Process. Kwa nini nasema...
  2. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Ipi sahihi sana kati ya Kumsomesha mtoto msingi english medium ya ada 3m per year vs kumsomesha kayumba na kumnunulia kiwanja cha 3m kila mwaka?

    Aina na Kiwango cha elimu unachompatia mtoto wako kiendane na malengo na uwezo wako.Kusomesha mtutu shule za English medium haimaanishi kwamba anapata elimu BORA.Kama uwezo upo Basi mpeleke mtutu asome mitaala ya kimataifa,akihitimu Mpeleke Nje ya nchi katika vyuo vya kimataifa akaifahamu na...
  3. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Huwezi ukawa mzinzi alafu ukawa mwanaharakati kuponda ushoga. Ushoga ipo ndani ya uzinzi yaani ni sub section.

    Hutaelewa.Ila fahamu tu kwamba kuna mengi nimeyaona.Wapo mashoga wengi sana ambao wanajificha kwa mtindo wako wa kuwaona wengine mashoga ila wakiwekwa kati ni wale wale.Sisi tunaofahamu hili tunawaambia tu kwamba Usifikiri ushoga ni ubunifu,ni janga ambalo linaakisi malezi na maadili katika...
  4. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Diva aomba michango kwa waja, ili alipe kodi ya nyumba

    Hapa Kaweka Dau kwa anayehitaji....Ila wabongo bwana...
  5. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Diva aomba michango kwa waja, ili alipe kodi ya nyumba

    Waboongo Bana; Hivi mnaelewa kinachoendelea hapo ama mnafikiri kinachotafutwa ni kodi?Anyway.
  6. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Huwezi ukawa mzinzi alafu ukawa mwanaharakati kuponda ushoga. Ushoga ipo ndani ya uzinzi yaani ni sub section.

    Wewe na Watibeli wenzake mna shida mahali.Mnajiweka katika High Moral Ground.Tena ni ninyi Mkifanywaga Bullying Ndo huwa mnajiua kabisa maana mnakuwa mmezoe kubully wengine.Usichofahamu ni kwamba Jambo usilolijua ni kama usiku wa Giza na kila linalotekea katika maisha ya mwanadamu ni matokeo ya...
  7. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana unapopost link ya Youtube au Instagram humu ndani maana inaweza kutambulisha wewe ni nani

    https://www.youtube.com/watch?v=DcZ6PqpcKl
  8. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Huwezi ukawa mzinzi alafu ukawa mwanaharakati kuponda ushoga. Ushoga ipo ndani ya uzinzi yaani ni sub section.

    maelzo yako nilitaka nisome yote ila uliposema kwamba sio jambo Baya Kuwafanyia Bullying Waovu nikaona tu niache kusome Nicoment niendelee na mambo zingine.Kichaa anachekesha akiwa sio ndugu yako.Shoga anaudhi usipokuwa ni wewe,ni mtoto wako au ni ndugu yako.Maovu ni mabaya ila waovu ni...
  9. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira.Technical Sales Specialists

    Habari za Wakati huu; Nafasi hizi za kazi zinatangazwa kwa Nafasi za kazi za Technical Sales Specialist.Kama Technical Sale Specialist uantakiwa uwe na sifa zifuatazo: Uwe na utaalamu katika Fani husika kwa Ngazi ya Diploma au zaidi. Uwe na uwezo na uzoefu wa kufanya Mauzo kwa njia ya moja kwa...
  10. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Sitaki kusema kuhusu Barabara LAKINI SIMANJIRO HAINA BARABARA 🙌

    Shida ya Simanjiro sio Pesa ya Barabara.Shida wote wanabeba Pesa wanaleta Arusha...Wanajitazama zaidi kama sehemu ya Mkoa wa Arusha kuliko Mkoa wa Manyara.Ukitaka kwenda Makao makuu ya Mkoa wao yaani Manyara inabidi ama upite arusha au upite Dodoma.Quality ya Wabunge wao na Raia wao nayo kuna...
  11. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Moshi ni takataka kabisa 🚮

    Moshi iwe jiji ili nini?Moshi ni Metro Village.Maana yake ni kwamba Pakiwa Jiji pataharibika.Hapo ni Sehemu ya watu kufanya Holidays na sio commercial centre.
  12. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?

    Unaelewa maana ya kauli yako?Unafikiri unaweza kufuta kanisa katoliki bila wewe kufutwa?Unafikiri yeye atakuwa wa kwanza kujaribu kulifuta kanisa bila yeye kufutwa?Anyway inawezekana akalifuta ila na yeyey atafutika.Ndivyo inavyokuwaga pale unapojaribu kufanya hivyo.Ila Ole wako kwa wewe ambaye...
  13. Masokotz

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Vijana wa JKT wajirekodi na kusema wakikuta mtu akiandamana watamdhuru

    Wacha nikwambie nilichoona kwa hao vijana.Kwanza kabisa hawa watakuwa ni wa kwanza kuandamana.Kwa kauli walizotoa tu na nana wanavyoongea basi ujue kabisa kwamba Kwenye maandamano watakuwa mbele.
  14. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Daktari Bingwa wa Mloganzila, Conrad Agonza, anayedaiwa kumshambulia Trafiki afikishwa Mahakamani, 10/09/2026

    Sijatumwa Bwana.Huu mchezo naufahamu.Kwa sasa yuko chini ya huruma ya Bwana Hakimu
Back
Top Bottom