Recent content by maskio popo

  1. M

    Mwenyekiti wa CCM, amvunja Mke mguu na kujeruhi mtoto wake. Kisa ni Mkewe kuhamia CHADEMA

    mkuu weka nyama ktk habari yako kwani unakimbizwa? acha uoga wa kitoto taja jina la muhusika wa tukio lini limetokea wapi polisi wamechukua hatua gani majeruhi wanaendeleaje sasa wewe unakuja kuleta mada haijakamilika
  2. M

    Siku niliyogundua watanzania wengi ni mbumbumbu, niliachana nao nafanya mambo yangu...

    mkuu miswaada yote ilipingwa na umoja wa katiba ya wanainchi(UKAWA) lakini kwa uchache wao wakazidiwa na wazee wa ndiooo! chini ya bi kiroboto nafikir hao ndo uwaite mambumbumbu
  3. M

    TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    sasa cjui ataenda mahakama gani huko aendako? kazi ya mungu haina makosa kama ulitenda mema utalipwa mema r.i.p brother
  4. M

    Kwanini Lowassa anataka Urais kwa Nguvu, Gharama yoyote?

    inamaana wanamtafuta hawamuoni au wanamtafutia ulaya wakati yeye yupo bongo? na leo yupo pemba anaendelea na harakati za kuikomboa nch kutoka kwa mkoloni mweusi nikupe ushaur gambaz awe amehamisha au hajahamisha awe mwizi fisadi lazima awe rais hakuna namna sasa peopleeees
  5. M

    Umeme unakatwa ALFAJIRI unapowashwa jioni baada ya nusu saa unakatika tena

    yani mkuu nibora umeme wa maji tuliouzoea kuliko hii gas maana ni balaa tupu na ni up€mbaf kabisa hakika nch inataka mabadiliko ya haraka hata kabla ya 25 oct
  6. M

    Kioja; BULEMBO ALITAKA MDAHALO NA MBOWE. LEO AMEWAONGEZA LISSU NA MDEE!!

    hata hivyo magufuli angekuwa kama anapanda mlima kitonga kwa miguu na mbatia angekuwa anatiririka tu. ccm out
  7. M

    Msaada: Mtoto hakui tangu azaliwe na hana dalili ya kubadilika

    habar zenu ndg: kuna dada wa rafiki yangu ana mtoto amempata tangu mwezi wa 6 lakini mpaka leo mtoto huyo bado ni mchanga sana kama kazaliwa siku 5 zilizo pita amekuwa anasumbuka sana amejaribu kwenda hospital ya wilaya ya urambo wakampa majibu ya kuwa mtoto hana tatizo nimekuja hapa ili nipate...
  8. M

    msaada: mtoto hakui tangu na hana dalili ya kubadirika

    habar zenu ndg: kuna dada wa rafiki yangu ana mtoto amempata tangu mwezi wa 6 lakini mpaka leo mtoto huyo bado ni mchanga sana kama kazaliwa siku 5 zilizo pita amekuwa anasumbuka sana amejaribu kwenda hospital ya wilaya ya urambo wakampa majibu ya kuwa mtoto hana tatizo nimekuja hapa ili nipate...
  9. M

    makala ya general ulimwengu - gazeti la rai mwema

    yatakuwepo wakiwepo kina kimbisa? kingwangala? nape nnauye?
  10. M

    makala ya general ulimwengu - gazeti la rai mwema

    ila ujue walikwambia wewe sio mtanzania japo ni mtanzania na uliwahi kuwa na madaraka ktk serikali yetu nikushauri tu mzee wangu weka akiba ya maneno
  11. M

    JK ammwagia sifa Lowassa

    kweli akiba yamaneno inahitajika alipokuwa kigoma alisema kuwa mwenye richmond ni yule anaetembea na lisu amesahau kuwa mwaka 2010 yeye alikua nae. jambo jema nikuwa maamuzi ya walio wengi wanamtaka awe rais nami nataka awe rais wangu na nimeandaa sherehe fupi ya kujipongeza kwa ushindi wa...
  12. M

    Wakali wa hisabati toka UKAWA {Chadema, CUF, NCCR & NLD}

    ccm imepatikana kutoka tanu hapo wamebadirisha jina kutoka tanu kuja ccm kwa hiyo hesabu ya miaka 50 ipo sawa. mfano fred kabadili jina akiwa na miaka 16 kutoka jina lake la zamani na sasa anaitwa husein miaka 34 imepita. swali je ni fred yuleyule au ni mtu mwingine?
  13. M

    Mimi nimemsikiliza na nimemuelewa, wewe je?

    sema utamchagua wewe usitushirikishe kwenye ujinga wako wote tuwe kama wewe
  14. M

    Yaliyojiri Tanganyika packers: Kampeni ya chama cha demokrasia na maendeleo 01/10/2015

    namchagua hivyohivyo haijirishi kama ataleta maendeleo au lah we kaa na ugamba wako
  15. M

    Treni reli ya kati yakwama Pugu

    Wakapande mabasi Ubungo maana bado wapo karibu
Back
Top Bottom