Mimi nimemsikiliza na nimemuelewa, wewe je?

Mimi nimemsikiliza na nimemuelewa, wewe je?

Je? Lengo la kwanza hadi la nne hutamkuta Dkt. Magufuli

Katika haya hakika Lowasa hatoki hapo. La pili je? Liitamuacha Lowasa salama?
Mhhhhhhhh! Udini nao ni sehemu ambaye haimuachi Lowasa salama maana yeye ameenda mbali zaidi na kupanga safu ya Marais ambayo yeye mwenyewe anaijua na kujinadi kuwa yeye………………………………..bila haya bila aibu na lingine ambalo haliwaachi salama CDM ni ukabila.

Rais wa Awamu ya Tano DKT. Magufuli njoo tutakuchagua kwa kura nyingi, Watanzania wanakusubiri uapishwe ili usimamie haya yanayoletwa na CCM B (CDM) ili Tanzania ya leo isiwe na muelekeo ambao unahatarisha amani na umoja wa taifa letu. Njoo safisha hili doa la udini ambalo linanyemelea taifa hili kupitia CDM na mgombea wao.

sema utamchagua wewe usitushirikishe kwenye ujinga wako wote tuwe kama wewe
 
sema utamchagua wewe usitushirikishe kwenye ujinga wako wote tuwe kama wewe

Hujitambui wewe, mtu mwenyewe unajiita "maskio popo" maana yake hujulikani ni wa sampuri gani. Wanajielewa wanataka maendeleo na kufanya kazi. "Hapa Kazi Tu" udini hauna nafasi kwenye taifa.
 
Kwanza makuful hana mvuto na muonekano wa rais, pili ccm tumeichoka haina tofauti na gari bovu kila cku gereji, tatu ni chama cha wezi na mafisadi nne ahadi ni zile zile toka 1977 na hazitekelezeki. Hapa mwendo ni lowasaaaaaaaa hadi magogoni.
 
Asante kwa ujasiri wako wa kumuanika huyo Lowasa wenu. Anamvuto gani? Ataweza kukagua gwaride kama amiri jeshi mkuu? Lipi ni gari bovu kama siyo CDM mmeamua kukodisha waendeshaji mnaacha vifaa na kutafuta spear wanazotupa wenzenu? Ha hahahahaaaaaaaaaa!

Fisadi kinara yupo wapi kama si CDM? Kava ngozi ya kondoo akitafuta analolijua yeye nanyi mnamfuata kama zuzu!

Ikulu ni mahali patakafitu haendi fisadi spear iliyochoka. Magufuli hongera kwa kutambua kuwa taifa linahitaji wachapa kazi siyo watu goi goi "Hapa Kazi Tu"
 
Siyo bure, utakuwa mnufaika wa mfumo wa CCM.
 
Siyo bure, utakuwa mnufaika wa mfumo wa CCM.

Siyo mnufaika, tuzungumzie utaifa tuache ushabiki. Kuweni wawazi na wakweli, nafsini mwenu pamoja na fikra na mawazo yenu. Mnachokitetea kina hata chachu ya utaifa na umoja wa taifa? au hujasikiliza vizuri hiyo hotuba?
 
Sikuzote hotuba za CCM ni nzuri sana,tatizo yanaishia kwenye majukwaa ya siasa.Kama umesoma makala katika gazeti la mawio la leo uk.10 - 11. Naamini utakuwa umefunguka kiasi flani, labda utawaliwe na ushabiki na mapenzi ya CCM.
 
Soma vizuri na jiridhishe, turudi kwenye mada ya hapo juu maana tunataka kupata kiongozi ambaye hata ukiulizwa swali ujibu kwa ujasiri, siyo, unajua........oh hili mara lile. Udini, ukabila na ufisadi kwa hawa wagombe wawili tulionao na uwezo wa kuongoza kiutendaji. Sina shaka, Magufuli ni Na. 1. Usimbanie ukweli acha uitwe ukweli na ujanja ujanja wa kuvaa ngozi ya kondoo nao tumeuona. Tamaa ya madaraka ni mbaya sana. Kuna ajenda gani huyu jamaa Lowasa anaitafuta kwa nguvu hivyo na kuwapiga kumbo wenye uadilifu wamuachie yeye apitishwe bila kuteuliwa kwa kupitia kinyang'anyiro ndani ya CDM?
 
Back
Top Bottom