Recent content by masimango

  1. masimango

    Wanafunzi Wa Chuo cha sheria IJA Lushoto hatihati kuahirisha mwaka wa masomo 2021/2022

    Yah hii issue ni kweli Mimi nina ndugu yangu anasoma huko na ametujulisha kuhusu mabadiliko hayi... Watu wanapambana sasa hv kuhakikisha analipiwa kias hicho ili aendelee na masomo yake...
  2. masimango

    Natafuta ushauri kuhusu software nzuri ambayo ntaweza kuitumia kweny ku run microfinance

    Gharama zake zikoje?? Maana kampun ndio inaanza hatuna budget kubwa sana kweny issue ya software
  3. masimango

    Natafuta ushauri kuhusu software nzuri ambayo ntaweza kuitumia kweny ku run microfinance

    Habari za majukumu wana Jamiiforum Nina mpango wa kuanzisha microfinance co. Ndani ya mwaka huu na nilikuwa naomba ushauri juu ya software/accounting package nzuri ambayo naweza kuitumia kuendesha hiyo microfinance. Ni matumaini yangu wana jamvi mtanishika mkono kweny hili. Natanguliza...
  4. masimango

    Jinsi ya kuboresha usomaji vitabu

    Asante sana kaka, nashukuru kwa mchango wako mzuri
  5. masimango

    Jinsi ya kuboresha usomaji vitabu

    ok asante sana kaka kwa ushauri, ntaufanyia kazi
  6. masimango

    Jinsi ya kuboresha usomaji vitabu

    Habari za kazi wadau wa jukwaa hili Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea salama kabisa na juhudi za kulijenga Taifa letu. Leo naomba tushirikiane kwenye hiyo mada tajwa hapo juu ili tuweze kuboresha usomaji wetu, usomaji huo unaweza kuwa wa vitabu au majarida mbalimbali. Naomba kujua kwa wale...
  7. masimango

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Mimi kwa uzoefu wangu vitu kama simu huwa hawa ship kuja Tanzania. Ukitaka kununua kitu kama simu Amazon inabid kupitia kampuni nyingine ambayo kazi yake ni ku ship kuja nchi kama za kwetu. wao wanakupa address ya US then Amazon waki ship mzigo unafika kwao then wao ndio wanakutumia Bongo. Sema...
  8. masimango

    Body spray ipi ni bora zaidi kwa wanaume?

    Kwa ambao tuko dar tunakupataje
  9. masimango

    Kutoka Bungeni: Juma Nkamia ataka uchaguzi wa Rais ufanyike kila baada ya miaka 7

    Kuongoza kwa miaka mingi sio kigezo cha kufanya mema. Wapo waliongoza miaka kibao na bado nchi zao hazina mbele wala nyuma. Utaratibu uliopo wa miaka 5 ni mzur ili km mtu kaharibu wananch wapate nafas ya kumtoa ili asiendelee kuharibu zaidi. Issue ni kuwa na katiba nzur ambayo itahakikisha mambo...
  10. masimango

    Software Nzuri Kwa Ajili Ya Kuombea Mkopo

    thanks kaka kwa mchango mzuri. ntaufanyia kazi kaka
  11. masimango

    Software Nzuri Kwa Ajili Ya Kuombea Mkopo

    Habari za majukumu wakuu, ni matumaini yangu kuwa mnaendelea salama kabisa na juhudi za kulijenga Taifa letu. Mimi naomba kuuliza kuhusu wapi naweza kupata software nzuri ambayo naweza kuitumia kwenye biashara ya mikopo kwa wafanyakazi katika mikoa na wilaya mbalimbali. Pia, naomba kujuzwa ni...
  12. masimango

    PSPF,mfuko pekee wa pensheni unaoweka mazingira ya wazi ya rushwa kutoka kwa wanaodai mafao!

    Hakuna mfuko ambao hauna deficit, deficit manake ni tofaut kati ya total assets minus total liablity. Total asset ni thaman ya mfuko na liablity ni kiasi cha mafao ya wanachama km wote wakistaafu. Kwhy hakuna mfuko dunian usionuwa na deficit. No research no right to speak
  13. masimango

  14. masimango

    PSPF,mfuko pekee wa pensheni unaoweka mazingira ya wazi ya rushwa kutoka kwa wanaodai mafao!

    Kaka toa ushahid wa jina ili kuwarahisishia takukuru kufanya kazi yao. Tufupishe story
  15. masimango

    PSPF,mfuko pekee wa pensheni unaoweka mazingira ya wazi ya rushwa kutoka kwa wanaodai mafao!

    Acha propaganda, shida ya watz huwa hawapend kupita njia sahihi. Mstaafu anadai mafao yake lakini anakubali kishoka ndio akafatilia mafao yake wakat anaweza kufatilia mwenyew mafao yake. Ofis za pspf zinajulikana zilipo lkn mzee anampa kaz kishoka akafatilie kwa niaba yake lazima upigwe. Watz...
Back
Top Bottom