Natafuta ushauri kuhusu software nzuri ambayo ntaweza kuitumia kweny ku run microfinance

masimango

Member
Dec 14, 2014
26
7
Habari za majukumu wana Jamiiforum

Nina mpango wa kuanzisha microfinance co. Ndani ya mwaka huu na nilikuwa naomba ushauri juu ya software/accounting package nzuri ambayo naweza kuitumia kuendesha hiyo microfinance.

Ni matumaini yangu wana jamvi mtanishika mkono kweny hili.

Natanguliza shukrani za dhati...
 
Hapo nilazima uandae mahitaji yako kisha mpe developer akutengenezee software kutokana na mahitaji yako. Ukitaka hizi za bure huwa zina limitations mkuu yani inabidi uifuate jinsi inavyotaka.

Kama unahitaji developer nitakuunganisha na jamaa yangu akufanyie at affordable price.
 
Gharama zake zikoje?? Maana kampun ndio inaanza hatuna budget kubwa sana kweny issue ya software
 
Hapo nilazima uandae mahitaji yako kisha mpe developer akutengenezee software kutokana na mahitaji yako. Ukitaka hizi za bure huwa zina limitations mkuu yani inabidi uifuate jinsi inavyotaka.

Kama unahitaji developer nitakuunganisha na jamaa yangu akufanyie at affordable price.

Hizo za bure ni kama zipi mkuu
 
Back
Top Bottom