Katika siku ya kilele cha mbio za MWENGE zilizohudhuriwa na maelfu ya viongozi na wananchi kutoka Pande zote za Nchi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Ajira, Vijana Jenister Mhagama alieleza kuwa ktk Kanda Namba 1 inayojumuisha Mikoa mizito Yaani Dar,Arusha,Mbeya,Mwanza, Kilimanjaro...