Kasi ya Rais Magufuli inatisha

MASIGA

Senior Member
Aug 29, 2015
130
281
Wakati kukiwa na kelele zenye dhamira hasi kutoka kwa wapinzani wa maendeleo ya Tanzania Rais wa JMT ameendelea kusimama imara kama ilivyo kawaida yake na kuendelea kuhakikisha hatolewi kwenye muelekeo chanya alioamua kuipitisha Tanzania.

Kuanza kwa ujenzi wa daraja la Salender ni kielelezo kingine kuwa Rais Magufuli ni mtu wa matokeo
IMG-20181116-WA0053.jpeg
 
Wakati kukiwa na kelele zenye dhamira hasi kutoka kwa wapinzani wa maendeleo ya Tanzania Rais wa JMT ameendelea kusimama imara kama ilivyo kawaida yake na kuendelea kuhakikisha hatolewi kwenye muelekeo chanya alioamua kuipitisha Tanzania.

Kuanza kwa ujenzi wa daraja la Salender ni kielelezo kingine kuwa Rais Magufuli ni mtu wa matokeo View attachment 937006
sawa
 
Big up JPM Walahi
Mwenye Enzi Mungu akiwa upande wetu ni nani ata thubutu kuwa juu yetu walahi
 
Kipi bora? Maisha bora kwa wananchi au maesijiara,madirumalaina,stegolazi goji au flaiova?
 
Baba ananunua TV nyingine Flat Screen kisa chogo imepitwa na wakati wakati watoto wake wanakula kwa taabu milo miwili na yule mdogo kabisa anaumwa hajampeleka hospital bdo kisa kipao mbele chake ni TV nyingine ili watoto na familia nzima waangalie EPL
 
Back
Top Bottom