Recent content by Mashoo2

  1. M

    Kwa wanawake

    Be careful kuna hips za kichina ndugu.
  2. M

    Hivi maisha yanakuwaje baada ya ...

    mmh labda ni format my brain is when i will forget completely.Kuna vitu havisahauliki atii.
  3. M

    Jamani nimelogwa au!!!!!

    Fair game how?maana huyu kaka sio single ni mume wa mtu.
  4. M

    Jamani nimelogwa au!!!!!

    Piga goti ndugu sali sana.Na mwambie huyo dada kila siku kuwa unampenda sana mkeo na yeye aendelee kumpenda mumewe.Ukiona vipi changua mkeo au kazi.Kuna kashetani kanataka kuharibu hapo.Sala iwe ndio uchawi wako.sali sana kaka.
  5. M

    Mwanaume nimpendezeshe mimi, mwingine aje anipore, thubutuuuuuuu!

    Haya yoye yanatokea kwa sababu pia sisi wanawake hatupendani hata kidogo.tungekuwa tunapendana tungesaidiana sana katika hili.Mtu anajua wewe unatoka na fulani na yeye anamtongoza mpaka ampate na huyo ni rafiki yako.Je kuna upendo hapo? Thin line between love and ......
  6. M

    Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

    Mwita Maranya; Na pia kuwa na ujasiri wa kumtukana Asha matusi mazito yale.Alikuwa anajiamini ndio maana alisema hatamwacha mpaka afe.mmh.Mume wa mtu ni SUMU.
  7. M

    je nikaze roho nimkubali huyu kaka???

    Dada kama moyo wako unasita acha na heshimu sana moyo wako.Ushauri wote unao ndani ya moyo wako.Respect ya instincts.Kila la heri.
  8. M

    Mpenzi endelea tu kununa, nimeamua kumsaidia dada yangu!

    Akimbie kama ukoma na amshukuru Mungu kwa hilo kujitokeza.
Back
Top Bottom