Acheni ujinga.
Hakuna shotkati msije kulia nyie viumbe.
Tembeleeni vyombo husika kupata taarifa hizo na sio vinginevyo.
Mkipigwa ndio akili itakua sawa. Uwezekano ni mdogo watu kwenda jkt mwaka huu. Elewa
Kuweni makini mnao fuatilia kazi ajira na uhitaji mwingine. Matapeli ni wengi sana.
Kampuni nyingi ambazo hazina usajili nyingi ni wizi tu. Kuwa makini.
Wazee wanahaki ya kupiga kazi.
Tatizo ukifuatilia miaka yao utakuta alianza kazi akiwa na miaka kumi.
Wamerudisha umri wao saana, mpaka hawaendani na vitendo.
Vijana mlio ingia hapo ama mtaingia hapo ukipewa cheo kataa kama unajipenda....
Kuwabadilisha ni kazi kwasababu wao wanajua kila kitu...
Pascal Mayalla,
Kuna aina mbili za injili
1.Kuna injili ya kikoloni
2.Na kunainjili ya kweli
Injili ya kikoloni imemeza wengi ndio maana watu hawataki.
Uwe unatoa maelezo vizuri hasa na ushaidi mzuri, siku io alio ongea hayo nilikwenda kwakua kulikua kuna habari ya makonda.
Alisema hivi...
Kipiti watu wameuwawa lakini hawaja taja dini.
Acha akili za kibaguzi.
Mauaji yoyote yalaaniwe na sio kuusisha na dini.
Ivi kama na walio iwawa kibiti wakisema ni waislam nio walio walio waua itakuwaje?
Kuwa na mtazamo mzuri na sio wakuonewa kama dini.
Nikosa la kulaaniwa na sio kuhusianisha na...
Yesu akati anarudi Mbinguni kwa Baba yetu alituahidi kua atatutumia msaidizi nae ndie Roho mtakatifu mwombezi.
Siku ya pentekoste.
Hapo kabla ya roma kuwa dhehebu
Yesu ndie mwamba.
Kasome vizuri. Huyo petro aliuliwa na hao hao enzi izo wao ni wakoloni. Badae ndo wanasema wao ni mwamba- labda ni mwamba kweli maana nimgumu kuvunjia kwenye akili za watu wanao jiita ni waitali
Hao sio wafu. Hata kwenye harusi yakana Mariam alikua hai na Yesu pia alikua nao.
Ni hekima tu ya mtoto kuomba hela kwa babaye kupitia mama wakiwa hai, sio kuomba pesa kutumia mama mfu.
Tunae mwombezi wetu ndie Roho mtalatifu kwa njia ya Kristo Yesu.
Paulo ama luka,matayo hawajawahi omba wafu.
Kisa cha Razalo na tajiri, Ibrahimu hakuweza fanya chocho juu ya kusaidia waliopo duniani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.