Recent content by Mashimba1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwaliko.

    Ukiona hivyo, ujue leo bibi yako nyumbani kachachamaa, hakukaliki hata kidogo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwaliko.

    Ha ha ha haaaaaa,
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwaliko.

  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwaliko.

    Hata wewe unakaribishwa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwaliko.

    Hata siyo mtongozo mkuu wangu. Nikubadilishana uzoefu wa maisha. BTW, hivi bado kuna watu wanatoa hela....!?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwaliko.

    Ikiwa kuna mrembo yupo hapa mitaa ya MAC RESTAURANT, njoo tuzungumze kidogo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Hii midoli ya kufanyia mapenzi imekaa vipi ndugu zangu?

    Kuhamia huko itakuwa zaidi ya ukichaa. Hujui kama hizo kero zenu kama ni mojawapo ya kichochoe cha mapenzi. Maisha bila changamoto mwisho ni ujuha. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania 19 records studio live on muosha rungu TV show

    Nini sifa ya kuwa mwanamke bora!? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Business ideas (Bure)

    Mkuu, nenda taratibu. Sijui Geita gani anayoizungumzia huyu ndugu mwananchi. Siku hizi hakuna utitiri wa ma konta....!? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Business ideas (Bure)

    Mkuu, ukitaka kufanikiwa ki biashara, usiwaze faida kwanza. Tengeneza ndoto kwanza halafu fijiria namna gani utafanikisha ndoto yako. Faida itakuja baada ya juhudi zako na namna unavyoendeleza ndoto yako. Hivyo kama unataka kufanikiwa, acha kufikiria faida kwanza. Acha faida ije kama matokeo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu bei ya Mitsubishi Rosa

    Mkuu hata 50 usilipe. Bora ununue Costa. Post sent using JamiiForums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mnavijimambo humu! Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke usikubali upweke olewa

    [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke usikubali upweke olewa

    Sijawahi sikia mwanaume akienda kwa waganga/kanisani kuombewa apate mke, lakini kwa manawake hilo ni jambo la kawaida.
Back
Top Bottom