Recent content by Mashegwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kinana mkoka wilaya kongwa leo

    Viva CCM
  2. M

    JamiiForums Tanzania Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Binafsi mie siwezi chagua kiongozi maskin ambaye ataonea kiyoyozi ikulu nihatari sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vijana watatu wa Geita ni kielelezo cha CHADEMA

    Hilo nikweli mkuu nashauri vijana hao wapelekwe milembe hosp wakapimwe akili maana si bure
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mhariri wa Nipashe ana ajenda na kazi maalum

    Ni kweli kama kweli anachukia wezi mbona gazeti hilo alijawahi kulipoti wizi wa NICO na boss wake kukopa benk ya NBC mpaka imefilisika!
  5. M

    JamiiForums Tanzania ITV/Radio One, huyu mwandishi wenu wa Musoma ni muongo

    mnataka kila mwandishi wa habari atoe habari za chadema tu jamani mbona huu ni ufinyu wa fikra? mkitaka hivyo anzisha chadema tv kama ilivyo TANZANIA DAIMA
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Masaburi amkana Lowassa, ataja sifa za Pinda kama Rais ajaye

    Peleka uko mzigo wako ni Rais gani huyo kila saa analalamika tu ?Hakuna kitu hapo tunataka rais ajaye awe na maamuzi sio chondechonde
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mshuhudie Anna Tibaijuka wakicheza mziki na Rugemalila baada ya kupeana ESCROW

    Safi sn mama yetu ni watu wachache wanaokumbuka kwao
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila afunguka tena, sasa aituhumu Ikulu kuhusika na suala la ESCROW

    Wewe mbona utaji unazo pewa na bepari mengi na mkono ili usema huo uwaro wako huo jamani naomba tuwe wakweli mwenyezi mungu atatoa hukum yke soon
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nina sharti moja tu kurudi CHADEMA

    NO way
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya UKAWA yaanza kufa kifo cha mende katika Mikoa mbali mbali

    Unaitaji maombi nenda kwa mch mama lwakatale
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kimeanza kunuka UKAWA, maneno ya Makwilo

    Arsenal wameshinda jana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Ziara ya CHADEMA bunge la Ulaya

    Wote mburura tu hao wameenda kukinga bakuli
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mengi: Natishwa

    Anatishwa na watu alio watapeli huyo ndo fisadi namba moja mbona nyie wanahisa wa ile kampuni ya NIKO hamsemi? si mnajua hiyo pesa alikula huyu mzee au?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Muhongo Na Maswi Wachunguzwe na Kukamatwa Mara Moja

    Prof yuko vizuri na hakuna dhambi kubwa Raisi atatenda kama atatekeleza maazimio ya kamati na kimsingi kamati ilitekereza maagizo ya mabepari
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wafahamu kwa sura zao na sifa zao wabunge waliosimama kuwatetea watuhumiwa wa ESCROW bungeni

    Faida wanayo kwa wapiga kura wao hao ndo wakusema kuwa hawafai si ww na kama kamati yko hiyo unayosifia kila kukicha mbona wananchi tunaona kabisa ilikuwa inafuata maelekezo ya bepari Reginald Mengi maana kama nikosa mhusika mkuu ni Benki kuu mtoa fedha na kama ni kodi mhusika mkuu ni TRA...
Back
Top Bottom