Recent content by Mashaxizo

  1. Mashaxizo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Don't give player a reason

    Hahahahaaaaaa! Anajitia uzungu unamchora tu.
  2. Mashaxizo

    JamiiForums Tanzania Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

    Hahahaaa! Mkuu RingaRinga nifute kauli kiaje sasa!!! Sijaona sababu ya kuamini uwepo wake kama inavyosimuliwa na Muslim na Christian. Ikiwa unahisi kuna sababu ya msingi ya kuamini, weka tu mkuu.
  3. Mashaxizo

    JamiiForums Tanzania Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

    Mi story tu! kula maisha kwa raha zako mwanauwane.
  4. Mashaxizo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sizielewi hisia zangu

    Mind power, power to concentrate, ukiitumia vizuri mind hiyo utafaidika sana ila ukiishia tu kuifikirisha kwenye ngono ni hatare
  5. Mashaxizo

    JamiiForums Tanzania All about Teleportation

    Ivi Mkuu hiyo copy ya mtu wataitoa wapi na kivipi? Na vipi ufahamu utakuwa traspoted kutoka original perspn to his copy? Then umesema copy inapokuwa transformed inakuwa original. so original inapoondolewa ufahamu na kupelekwa kwa copy, original inabaki na hali gani? Mkuu Brainiac naomba...
  6. Mashaxizo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ndo ugonjwa wangu

    Mi magaga. nawashangaa wanaopata shida kuyatoa
  7. Mashaxizo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipindupindu, msitishe kunyonyana nyeti: Rafiki yamemkuta

    Duh! Kwaiyo chumvini si kuzuri kipindi hiki mwekundu ICHANA Taratibu basi, katerero uchukue nafasi yake
  8. Mashaxizo

    JamiiForums Tanzania Happy bday my mwekundu

    Barikiwa sana kijana, HBD... Nimechelewa sana... keki alitayarisha ICHANA au?
  9. Mashaxizo

    JamiiForums Tanzania Happy bday my mwekundu

    Hahahahaaaaa! mwekundu asiione hii. Yula jamaa sijui mbiga sijui mbwinga anasemaga nyani hasusiwi shamba.... Hahahahahaaaaaa...
  10. Mashaxizo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini alinichukulia hadaa kupendana naye? Sasa inakuwa shida kumuacha?

    Mwambie huwezi oa mtu usiemuonja. ikiwa vifanyio haviendani je?
  11. Mashaxizo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni nini kanuni ya maisha?

    Kanuni ya maisha ni imani. ukiamini ktk kushindwa you will never succeed. Ukitaka mabadiliko anza kubadili fikra zako.
  12. Mashaxizo

    JamiiForums Tanzania Njia ni Nyembamba na Mlango ni Mwembamba, Waingiao ni wachache (Spirit Science)

    Mkuu hapo ktk chakra ni kwamba mtu hutakiwa kufanya mazoezi (special meditation) ili kuengeza energies ktk vituo hivyo na ndipo aweze kufanya ayatakayo ktk ulimwengu wa kiroho. Sasa inakuaje unasema ukipunguza hiyo energy (eg kwa kufunga) ndipo utaweza kufanya hayo mambo?
  13. Mashaxizo

    JamiiForums Tanzania Njia ni Nyembamba na Mlango ni Mwembamba, Waingiao ni wachache (Spirit Science)

    Kuangaziwa na nani Annael?
  14. Mashaxizo

    JamiiForums Tanzania Sababu 10 za kutokuwa na dini zaelezwa, soma wengine wanavyofikiri

    Mkuu ungewaekea kwa kiswahili ingekua poa sana coz most of them are ignorant.
  15. Mashaxizo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gharama zinavyo limit frequency ya kuonana kwa wapenzi

    Hahahahaaaaaa Haya bhana ndoa njema
Back
Top Bottom