Recent content by Mashao

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna mgombea urais atakayefariki Nabii

    eee.. sijui bwana, maana hawa manabii wa siku hizi nao...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ajali ya lori na DCM eneo la External jijini Dar yaua

    poleni sana kwa mliopatwa na ajali
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ohoo! Mtumishi wa Mungu anaswa na mke wa mtu !

    jamani tusiamini sana haya magazeti ya udaku story nyingine wanatunga ili wauze magazeti yao
  4. M

    JamiiForums Tanzania Soda tunazokunywa majanga

    ni kweli kabsa hawa watengenezaji wa vinywaji hawazingatii usafi, mimi nilishawahi kununua fanta nyeusi nikakuta kifuniko cha soda ndani nikamrudishia muuza duka akanipa nyingine coz nilikua hata sijaifungua bado.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Magonjwa: Tunaweza kuchukua tahadhari kila inapowezekana

    that is very true, thanks for advice.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mnipokee wana JF

    asanteni sana wana jf. pamoja sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mnipokee wana JF

    asante sana, sina fujo nyingi ninazo fujo kidogo tu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mnipokee wana JF

    Mimi ni member mpya naomba mnipokee tafadhali
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    haujakata kiu bado?
Back
Top Bottom