Recent content by masesethedreama

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa

    habar wadau, naomba kufahamishwa kuhusu sheria ya ujenz wa mabarabara na kuelekeza maji yake kwenye makaz ya watu.maana huku kwetu kuna barabara imejengwa na maji yake yameelekezwa kwenye mij yetu sa tufanyeje kuzisaidia nyumba zetu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kaimu DEO na Mtaaluma Simanjiro mnaua elimu

    think big bro! kama hujui jambo bola unyamaze sio kutema pumba ambazo zinakuonyesha jins ulivyo rough katika kulogic hoja.kanun za educational management ziko waz bad management poor perfomance
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    marekebisho bro haku hakuna butiama mjni&butiama vjjn bal kuna jimbo la butiama tu bal msoma ndo kuna msoma mjn&vjn
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanaokesha kwa ajili ya ukombozi wa Taifa, Karibuni Hapa

    jambo jema kwangu ni almost wasimamiz wotekatan ni watumish wenzangu ambao ni makamanda hatar! wameniakikishia kuwa hakuna bao la mkono katka vituo vyao litakalofungwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa makamanda na wadau wote wa mabadiliko chini ya UKAWA

    hakika Mungu huwatumia wanadamu kuokoa roho za watu wake very compassion kwa kile kilichokusibu japo cjakijua n trust me dunia nzma itasimama kushuhudia uchaguz huu wa kihistoria
  6. M

    JamiiForums Tanzania Swal

    utekelezaj wa sera mpya ya elimu ya mwaka 14/15 unaanza lin
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri ya Geita kanishangaza sana!

    ni jeur na kibur cha uongoz mshahara ni hak ya mwajiriwa so unapomnyma mfanyakaz mshahara ni kukiuka sheria za ajra dunian na mkatabata ulio valid
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maneno ya hekima toka kwa lowassa

    ki ukwel mzee ana hekima ya hal ya juu xana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Monduli ipo nyuma kimaendeleo kuliko sehemu zote

    bro hzo picha co za mondul kwa fact cfuatazo.1 masai hujenga nymba kwa kutumia mit miembamba xan tofaut na kwnye picha 2 baada ya kujenga huitaliz kwa tope lilichanganywa kwa jivu 3 hakuna mmasai anavaa nguo tofaut na migoror yao 4 viat vyao ni tair la pkpiki tofaut na picha mkuu acha propaganda
  10. M

    JamiiForums Tanzania Monduli ipo nyuma kimaendeleo kuliko sehemu zote

    co ukwel na ni upotoshwaj mkubwa! mi nikir kabisa kuwa ni mwana ccm! na nimeish mondul zaid ya miaka3 hocpital ya wilaya ya mondl ni hocpital mfano hapa nchin! wanatoa kila aina ya hduma ambayo huitajka kotka katka hosptal kubwa.wod za kutosha mpaka baadh zko tupu hudma ya maabara ya uhakika had...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuvaa sare za vyama katika mikutano ya kampeni ni ufanisi au mapungufu?

    yah! ccm ina wanachama weng na ndio wanaojtokeza kweny mikutano yao but huwez linganisha na umat wa watz wasio na chama chochote ambao hujtokeza kwnye mikutano ya ukawa(lowasa)
  12. M

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Yamuwekea Mitego Mgombea Ubunge CCM Arusha Mjini

    pccb haiko huru
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi, pale Mgombea anapogawa fedha kwenye kampeni sio rushwa?

    exactly hiyo ni rushwa
  14. M

    JamiiForums Tanzania tofaut kat ya biashara na siasa zielewke startv

    hii! kuna tangazo fulan linarushwa startv likirusha speech ya mwl nyerr likihuc ufisad wakat huo wakionesha picha za mh lowasa! hii inamaanisha nin ama kwa wale waukawa waache kusapot chanel hi il ibak kwa maccm pekee! naomba kuwasilisha wadau.
Back
Top Bottom