Maneno ya hekima toka kwa lowassa

Maneno ya hekima toka kwa lowassa

Nami namuombea afya njema na wale wote wanao mchimbia kaburi angali yuko hai watangia wenyewe nayeye ndiye ataye wazika maana MUNGU ndiye mtoa afya
 
Nimesoma mpaka machozi yamenidondoka kwa kweli tokea ni zaliwe sijawah kumuona na Kukutana na mtu kama Lowassa Mungu akupe nguvu na hekima baba yetu. Tu nakuombea usiku na Mchana na Mungu yu pamoja nawe hadi Ikulu
 
ni maneno ya hekima,unajua wanaomharibia lowasa ni hawa bavicha,hasa wa humu jf....maana wamejaa majigambo na vitisho ambavyo havijengi,bali vinachochea chuki

Akili inaanza kukurudia kidogo kidogo
 
Wanaomtakia mabaya yanawakuta wao kwanza...Kusimamia malengo na
Uvumilivu ni mambo ya maana sana ktk maisha. Mungu azidi kukutunza Mh.E.N.LOWASSA.

NI WAKATI WA MABADILIKO.
 
Lowasa alipoulizwa kuhusu afya yake na wanaombeza, alijibu kwa huruma na upole, afya yangu mwenyezi MUNGU ndiye anayeijua maana sijui nitafia wapi au kwa njia gani, niwapongeze hao walio wazima milele maana aliyewajalia afya njema ndiye alinipa mimi maradhi, maana wao wataishi milele na mimi nitakufa tuu, ila bado nikiwa na pumzi na uhai huu hata kama nimelala kitandani naugua ugonjwa nitaendelea kuipigania Tanzania.

Ikumbukwe mimi nilikuwa nina hii ndoto ya kuwaongoza Watanzania na kuwaondolea umaskini toka Mwaka 1990 na bado ninaamini naweza kuitimiza, cha muhimu sasa ni kila mtu anatafuta kick ya kuaminika zaidi na Wananchi ili wampe kura, tatizo linakuja pale tuu ni njia gani wanaiyoitumia kuomba kura, either kwa kumdhihaki mwingine au wananchi au kwa kutumia sera makini. Kabla ya kampeni na wakati tukifungua kampeni zetu Jangwani nilishasema tutaendesha kampeni safi zisizo na maneno machafu ya kumdhihaki mtuu.. Kwa hilo nafikiri mpaka sasa nalisimamia vizuri, sikuwahi kumtaja mtu mwingine kwa kumchafua toka nianze kampeni maana ninaamini hao hao tunaopingana nao majukwaani wengine lazima tufanye nao kazi ofisi moja ili kuleta maendeleo kwa Watanzania...

Touch me deeply.... always WISDOM is a good career in Leadership

Heshima kwako Emma the blues

Lofa huyo akalale kwake
 
Lowasa ana mengi ya kutufunza, hata asipokiwa Rais wa nchi hii kuna jambo moja hufundishwa kila siku, uimbwa kila siku, husemwa kila siku, linahibiriwa na media kila siku na lowasa analo sana, LIVE YOUR DREAMS.

Si hilo tu, lipo na hili Timiza unachokitaka, Usikate tamaa, na vumilia

Hayo mambo hapo juu kila siku tunaimbiwa, wajasilia mali na watoa elimu za biashara na maisha. Kila siku husema mtu anaefanikiwa ni anaeishi ndoto zake, anaejituma, mwenye kauli njema, asiechoka wala kukata tamaa, Mvumilivu.

Lowasa anayo yote, ana ngozi ya uvumilivu, amechubuliwa miaka 8 tangu akipojiuzuru lkn mara chache amejibu, mara zote hajatusi, kwa vyovyote ana react positively.

Lowasa, kwa haya umetuachia funzo.

MUNGU MPE AFYA NJEMA, AISHI MUDA MREFU ADUI ZAKE WA FEDHEHEKE.


Magamba walipomchafua na kusema ni mgonjwa na atafia kwenye kampeni na kudai ikulu sio wodi ya wagonjwa watz walisema watamchagua hivyo hivyo awe mzima au laa

Magufuli baada ya kujua walikuwa wakimpaisha Lowasa na kumuongezea kura nyingi za huruma wakaibuka na kuanzia kudai oooh hata mgombea wetu ni mgonjwa au hamkumuona hata loliondo alienda,bila kujua el ana kitu cha zaidi ndani yake kinachomfanya akonge nyoyo za watz

Kwa mfuatano wa kukosa kumakinika na uzembe wa watu wa wake wakaona bora wazipoke mbinu za wapinzani yaani kucopy na kuedit kisha kupaste mfano Movement For Change to Magufuli For Change bila kujua wanaonesha picha halisi ya tabia zao za kibabe na kulewa madaraka... Ila watz wakasema kati ya copy na original tutachagua original
 
CCM wana laana ya waasisi wakuu wa nchi hii. Wamekufa tu kila mtu akaanza kutoa sharubu zke kuuza mali ya umma na kujimilikisha utajiri.
 
Huyu mzee anajielewa sana sio mchezo,waache wapige tarumbeta zao ila nywele nyeupe,ikulu nyeupe na roho nyeupe Lowassa ndani ya magogoni october 25
 
Kama maneno yangekuwa ni sumu basi lowasa angekuwa ameisha kufa muda mrefu sana lakini lowasa yeye wanampo msema yeye anacheka tu. Kwenye maisha ukiwa mstarabu raha sana.
 
Back
Top Bottom