Recent content by MASEKE TEE

  1. M

    Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    Huyu sio mwanasiasa, kuna harakati anazipigania ziingie ikulu. Mazzm yalipomwita mdini, sasa nimewaelewa. Anadhani watanzania tulikuwa tunampenda yeye, nooo. Gwajima alisema alikuwa padri, so alichelewa kupiga mbuchichi", aliijulia uzeeeni. Amewehuka. Ana chuki binafsi. Mabadiliko ni kuiondoa...
  2. M

    Yote tisa, kumi CCM wametuweza kweli kweli

    LIWALO NA LIWE, LAKINI KWANZA TUUONDOE MFUMO CHAKAVU, PERIOD. BAADA YA HAPO TUTAWEZA KUONDOA UPUUZI WOWOTE, WITH A CONFIDENCE. TATIZO MFUMO ZZM. PERIOD. UTAKI ACHA. cc Mwanakijiji, usieishi kijijini.
  3. M

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    watanzania tunataka mabadiliko, vibaraka wa ccm wanajaribu kuyazuia, mabadiliko ni suala la muda, hata mkoloni alishindwa na propaganda, vibaraka, na mateso yote. Muda ulipofika. Waafrika tulijitawala. Mwezi octoba mbali, tutasahau uzushi wa slaa na lipumba, ccm wametuahidisana. Tumechoka...
  4. M

    CCM ijiandae kisaikolojia hakuna namna!

    huu ndio mwaka wa kuonyesha hasira zetu malofa. Ccm kwanza wasepe tumechoka, tumewachokaaa. Then tutaweka mifumo mipya ya kuiongoza tz mpya. Tatizo sio magufuli, tatizo ni ccm. Hatuna namna. Asanteni kwa uhuru, imetosha.
  5. M

    Matokeo ya Serikali za Mitaa: Ni mwanzo wa mwisho wa CCM?! Au ni hasira tuu za Escrow, na Katiba?!

    Ccm mtu pekee wa kuiokoa ni komredi lowasa. Tehe!!!, tehe!!!. Vinginevyo wazee wa escrow" wanakwenda na wota". Tuuombee ukawa wasiipiganie tume huru ya uchaguzi. Chadema wametuzidi maujanja. Operesheni delete" imetuweza.
  6. M

    Ndoa ya UKAWA yaanza kufa kifo cha mende katika Mikoa mbali mbali

    WEKENI TUME HURU YA UCHAGUZI, TUONE CCM KAMA TUTAWASHINDA UKAWA KWA UHALALI. Mnaiba mitihani mkifaulu mnajisifu mna akili". SIASA ZETU NI UHUNI TUUU. Any way kutesa kwa zamu.
  7. M

    CHADEMA yanunua wagombea wa CUF

    Wewe masidiria", hata hueleweki upo ccm, act au team zito. Mara unampamba zito, mara act na mara zote ukiutusi na kuudhihaki upinzani hasa chadema. Nyie ndio mnaaotufanya tusimwamini zito, na tumtilie mashaka kuwa pandikizi. Mabadiliko sio uhaini kaka, ni matakwa ya muda. Dunia nzima. Utajificha...
  8. M

    UKAWA hamna hoja, nipo hapa kujibu hoja zenu

    1. Ni wapi duniani mshukiwa wa ufisadi akapewa jukumu la Kuandika katiba?. 2. Kwa nini Ccm mmetupa umaskini lakini mnalazimisha kututawala kwa hila na mabavu Hamuoni kama mtasababisha machafuko?. 3.KWA nini wajumbe wengi wa ccm nyumba 10. Ni madobi?,. cc. Faiza fox.
  9. M

    Dk. Slaa azidi kuchanja mbuga; atoa maagizo nchi nzima 'waraka' wa uasi

    goo dk w.slaa unasimamia ukweli na haki, siku zote haki hushinda, umamluki na kusaliti maskini wa tz ni uovu. Hautashinda ni suala la muda tu. Mwisho wasaliti wanaumbuka na kufa kifo kibaya cha kisiasa kama lyatonga. Mwisho wao wanakuwa watumwa wa mafisadi huku wamevaa ngozi ya upinzani...
  10. M

    Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    Wizara ya mambo ya Ndani chini ya nchimbi mauaji mengi ya kisiasa yalitokea akiwa WAZIRI. NCHI ZENYE UWAJIBIKAJI HUYU ALITAKIWA AENDE JELA NA KAZI NGUMU. HUYU KATIBU MKUU WA ZAMANI WA UVCCM KAMA SIJAKOSEA. ALIKUWA ANAFANYA KAZI ZA MAGAMBA KUTESA/KUUMIZA WOTE WALIOKUWA WANA MAWAZO TOFAUTI NA...
  11. M

    Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    Wizara ya mambo ya Ndani chini ya nchimbi mauaji mengi ya kisiasa yalitokea akiwa WAZIRI. NCHI ZENYE UWAJIBIKAJI HUYU ALITAKIWA AENDE JELA NA KAZI NGUMU. HUYU KATIBU MKUU WA ZAMANI WA UVCCM KAMA SIJAKOSEA. ALIKUWA ANAFANYA KAZI ZA MAGAMBA KUTESA/KUUMIZA WOTE WALIOKUWA WANA MAWAZO TOFAUTI NA...
  12. M

    Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    Kagasheki aliingilia biashara ya vigogo wa magamba, alikamata mzigo mikocheni, na znz. Wakamripoti. Majngili wanpongezana saa hizi. Teh teh teh. Magamba wazee wa fitna. Chukua chako mapema. Chama chakavu.
  13. M

    Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

    Maccm yanawapiga dk slaa na mbowe kwa sababu hawahongeki. Ni kikwazo kwenu magamba kuelekea 2015. Tumewastukia, mnapenda wapinzani wachumia tumbo kma kina tambwe hiza,zzk, n.k, ili muendelee kuliibia taifa rasilimali zetu bila kukemewa. Ccm ni genge la majangili,mafisadi,wauza unga na kila...
  14. M

    Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

    Maccm yanahangaika sana kumchafua Dk Slaa na CHADEMA. hamjui adui yenu ni sisi WATZ MLIOTUAHIDI MAISHA BORA, BADO TUBATESEKAKA KATIKA LINDI LA UMASKINI, HATUNA MAJI,ELIMU MBOVU,HATUNA AJIRA,HUDUMA ZA AFYA MBOVU. PESA MNAZOTUMIA KUHONGA MAPANDIKIZI KUZUIA MABADILIKO NI NYINGI SANA. WATZ WA LEO...
  15. M

    Dr. Slaa: Wenyeviti wa CHADEMA waliojiuzulu kutokana na sakata la akina Zitto waomba kurudi

    Ccm imechoka na imechokwa na watz, na wanalitambua hilo, thus why wanatumia pesa nyingi kuwanunua wapinzani ila wasaliti watz na dhiki mliyotulethoka wanaotaka mabadiliko. Ccm imechakaa, wanahangaika na dk slaa na chadema. Ccm ni kma lyatonga mrema haina mvuto mbeleya umma wa watz. Ccm hamuwezi...
Back
Top Bottom