CHADEMA yanunua wagombea wa CUF

CHADEMA yanunua wagombea wa CUF

Unajitahidi sana! Itabidi na mgao wako uongezeke
 
Tuondolee uchafu wako hapa, habari ya mjini ni ESCROW! Hata ku fake magonjwa ya ajabu ajabu hakutatuondoa kwenye issue ya pesa zetu. BRING OUR MONEY BACK!
 
mkuu soma vizuri

Nimesoma vizuri sana na nimegundua ni upuuzi tu ndio maana nikatoa hayo maoni. Lkn uzuri wengine wameshakujibu vizuri. Hata hivyo, wewe sio msemaji wa UKAWA, kwa nini kila siku unaleta habari za upuuzi zihusuyo UKAWA? Kwani UKAWA ni chama cha siasa? Kwani UKAWA ndio wako madarakani? Lete threads zihusuyo jinsi chama tawala kinavyofanya jitihada kuleta maendeleo ya Wananchi. Tueleze ni jinsi gani chama chenu cha CCM (maana mie sina chama) kinapambana kuhakikisha WEZI na MAFISADI walioko ndani ya CCM, serikali na washirika wake hawaibi tena mali ya umma kama walivyofanya kwenye ESCROW!
 
mkuu umedai huna chama lini nilikuambia mm ninachama
 
TAARIFA TOKA GEITA NI kuwa genge la UKAWA wameshindwa kuelewana kugawana mitaa ivo kuweka wagombea mitaa yote
KIBAYA ZAIDI kunawenyeviti wawili wa CUF wamepenyezewa noti ili wajitoe mmoja ni RAMADHANI HAMISI WA KATA YA NYAMALOMBE Ambae amerejesha fomu za kugombea ujumbe kupitia CHADEMA wakati alisharudisha fomu za kugombea uenyekiti kupitia CUF. MWINGINE NI BWN AYUBU. BD INTELIJISIA AT WORK.

Kumbe tetesi,nyie watu wa buku 7 acheni kutuchanganya.
 
mkuu umedai huna chama lini nilikuambia mm ninachama

Sasa kama huna chama kwa nini kila wakati unaleta threads za kipuuzi kuhusu UKAWA kana kwamba wewe ndio msemaji wao? Si uache wahusika ndio walete habari zao hapa jamvini? Maana kwa jinsi unavyofanya inaonekana una lako jambo. Mbona habari za muungano na vyama vingine huleti threads zake ili tuamini kuwa kweli huna chama? Kuna Muungano wa vyama visivyo na Wawakilishi Bungeni kama vile UPDP, SAU, NRA n.k mbona sijawahi kuona hata siku moja unavisema? Chama Tawala CCM pia ambacho kiko madarakani sasa mbona huelezi madudu yake? Ufisadi wa Escrow saizi, ujangili wa tembo, ukosefu wa dawa hospitalini, ufisadi kwenye ujenzi wa bomba la gesi, hali ngumu ya maisha n.k. Mbona hayo huyataji ili tuone kuwa kweli wewe una nia njema na Watanzania. Unafikiri hayo mambo ya kipuuzi (propaganda) yahusuyo UKAWA yatasaidia kutatua matatizo ya UFISADI, afya, elimu, maji n.k tuliyonayo kama Watanzania?
 
Wewe masidiria", hata hueleweki upo ccm, act au team zito. Mara unampamba zito, mara act na mara zote ukiutusi na kuudhihaki upinzani hasa chadema. Nyie ndio mnaaotufanya tusimwamini zito, na tumtilie mashaka kuwa pandikizi. Mabadiliko sio uhaini kaka, ni matakwa ya muda. Dunia nzima. Utajificha ipo siku.
 
TAARIFA TOKA GEITA NI kuwa genge la UKAWA wameshindwa kuelewana kugawana mitaa ivo kuweka wagombea mitaa yote
KIBAYA ZAIDI kunawenyeviti wawili wa CUF wamepenyezewa noti ili wajitoe mmoja ni RAMADHANI HAMISI WA KATA YA NYAMALOMBE Ambae amerejesha fomu za kugombea ujumbe kupitia CHADEMA wakati alisharudisha fomu za kugombea uenyekiti kupitia CUF. MWINGINE NI BWN AYUBU. BD INTELIJISIA AT WORK.

View attachment 204756
 
kwa hiyo ulitaka wakununue wewe mfu wa ccm au wote ni UKAWA wapo pamoja punguza umbea
 
TAARIFA TOKA GEITA NI kuwa genge la UKAWA wameshindwa kuelewana kugawana mitaa ivo kuweka wagombea mitaa yote
KIBAYA ZAIDI kunawenyeviti wawili wa CUF wamepenyezewa noti ili wajitoe mmoja ni RAMADHANI HAMISI WA KATA YA NYAMALOMBE Ambae amerejesha fomu za kugombea ujumbe kupitia CHADEMA wakati alisharudisha fomu za kugombea uenyekiti kupitia CUF. MWINGINE NI BWN AYUBU. BD INTELIJISIA AT WORK.

kijana una akaunti pale MKOMBOZI ?
 
Chadema chama haramu kweli hakifai kuwa miononi mwa vyama vya siasa.

Sasa kama hakifai kwa nini unahangaika nacho? Pilipili usiyoila yakuwashiani? Wewe unaandika tu upuuzi, na unastahili kupuuzwa km kawaida
 
Ni ujinga kwa mtu mwenye akili kuhujumu UKAWA wakati unajua Kabisa CCM si msaada kwa maisha ya Tanzania ni chaka la wafanyabiashara na mafisadi.
 
Back
Top Bottom