Umechemka hapakiongozi....Wajasiria mali tunahitaji mazingira mazuri ya kufanyia kazi zetu za kujiajiri...Wewe unatuletea Uchawi wa kuajiriwa...Pumbavu kabisa wewe na utakufa Maskini kwa kuajiriwa.
Zitto Kabwe’s havoc began long way back. His attitude to force transformation through dishonest backing endures. Reports in Tanzania confirm that this young politician had the same attitude in the University of Dar es Salaam between 1999-2003, during his time in the opposition party (Chadema)...
Nimejitokeza kuchangia ujuzi wangu kidogo katika zao la korosho lakini zaidi kuonesha fursaha yangu jinsi unafiki wa Mbunge wa Kigoma, Zitto Kabwe, unavyoendelea kudhihirika na kuanikwa na Serikali makini ya Awamu ya Tano baada ya leo kuanza kutapatapa akiropoka tu mitandaoni alipoona Serikali...
Wakati kesho benki ya TADB inataraji kuanza kuwajaza wakulima Mapesa ya korosho kwa kiwango cha Tsh. 3,300/kg serikali ya Ghana nayo inahaha kuanzisha Benki ya "Ghana Export and Import (EXIM) Bank " kwa ajili ya kusaidia wakulima wa korosho.
kwa taarifa zaidi ==> Government will support cashew...
HUU SIO UZALENDO BALI NI HARAKATI....
UZALENDO ni ile hali ya kuipenda kwa dhati, kuiheshimu na kuitumikia nchi yako kwa moyo wako wote kwa hali yoyote ile hata kama utalazimika kutumia uongo ili ionekane vizuri mbele ya mataifa mengine. Kuwa tayari kujitolea hadi tone la mwisho kwa nchi yako NA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.