Suala la Korosho: Mbunge Zitto anapotosha umma, JPM kafanya sawia kabisa

Freddie Matuja

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
1,459
2,829
1. UZALISHAJI KUPUNGUA:

Uzalishaji ulipungua ulitokana na bad weather na sio vinginevyo. Taarifa ya wataalamu wa Kilimo wa kituo cha Utafiti Naliendele, taarifa ambayo Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Majaliwa kaitoa leo mbele ya Mhe. Rais IKULU na Watanzania wengi tumeIsikia kupita vyombo vya habari.

2. ATHARI ZA KIMAPATO:

Waingereza wanasema to every cause there is effect… If we want to change the effect we should change the cause…Athari inaweza kushuka kwa Halmashauri kama taasisi, ila wananchi watapata hela nyingi kuliko halmshauri kama taasisi. Mzunguko wa fedha utakuwepo katika Halmashauri husika, kwani fedha ambazo kila mwananchi atauza korosho kwa Sh. 3,300/kg, fedha hizo zitanunua bidhaa na huduma katika wilaya/halmashauri hiyo hiyo na kwingineko ambako mwenye fedha atapenda.

Value chain ya korosho itafanyikia hapa kwa kutumia kiwanda cha jeshi (BUKO) ambacho leo wamepewa, unlike korosho ghafi ambayo huwa inakuwa exported kwenda India na Vietnam kuwatajirisha wenye viwanda vya huko na sio Tanzania. Kwa kuwa tutakuwa na finished product, export levy itapatikana wakati tunauza korosho iliyoengezwa thamani. Hoja yako pia iko dhaifu.

3. TADB HAINA FEDHA:

Rais sio kwamba hana uhakika wa uwepo wa 660 bilioni ambazo ametaka zitumike kwa ajili ya ununuzi wa Korosho toka TADB. ZZK acha kutuhadaa kuwa Serikali itawakopa wananchi. Korosho itanunuliwa kwa cash sawia na agizo la Rais JPM wewe kama kiongozi hutakiwa kutengeneza fitna na taharuki. Mbunge anakuwa entrusted na diplomatic passport, kwa hadhi hiyo unawajibika kutulia na kuacha executive branch ifanye kazi yake. Kama kwenye execution process utaona madhaifu, utakuwa na fursa ya kuja na hoja ya kokosoa na sio sasa.

Sidhani kama kuna uvunjwaji wa sheria utatokea. Ila kama itatokea ukiukwaji wa sheria, ZZK nenda mahakamani kufungua shauri la uvunjwaji wa sheria. Ikumbukwe, kuna sheria zingine ambazo huwa zina-govern a particlur land huwa ni mbaya; na kama sheria ni mbaya, ikitokea sheria zimekiukwa, sisi hatutakuwa wa kwanza duniani. Wakati wa utawala wa Farao huko Misri, kuna sheria ilipitishwa kuuwa watoto wa kiume kutoka jamii ya Kiyahudi. Familia ya Musa ilikiuka kwa kumficha mtoto Musa ndani kwa miezi 3. Hata baadae alipotupwa mto Nile na kuokotwa na binti Farao, alipata advatange ya kulelewa katika kasri la Farao kwa kukiuka sheria mbaya. Kama kuna fedha ya kununua korosho ipo ndani ya Tanzania, ni vema fedha itumike kwa kununua korosho bei ya sh. 3,300/kg. Hii thamani yake ni kubwa. Kwa kuwa tuna nafasi ya kuzibangua na kuwa na finished product, gharama ya finished product sokoni ni kubwa. Na kwa kuwa tutauza say kwa kg sh15,000; tutakuwa na fedha nyingi za ziada na mkopo utarejeshwa na riba kama ipo.

4. Magari ya Jeshi yatahitaji mafuta na uhakika wa posho na stahiki za wanajeshi wakiwa kwenye zoezi la korosho. Wanajeshi ni wazalendo na wana utayari kuwa sehemu ya zoezi hili lina thawabu kubwa kwa maslahi ya Taifa kuliko wangenunua madalali/walanguzi wengi ambao ni “Watanzania wa asili ya India”. Mwisho wa siku fedha huwa zinabaki kwenye account zao kama sio India au UK na fedha huwa zinakuja tu, msimu wa kununua korosho na sio vinginevyo. Baada ya manunuzi huwa zinabaki kujenga uchumi wa India ni sio Tanzania.

HITIMISHO:

ACT Wazalendo na ZZK walipinga manunuzi ya ndege kwa cash, wakitaka tufuate sheria ya umma manunuzi ambayo mchakato wake ungefanya gharama ya ndege kuwa kubwa zaidi. Ilitumika akili ya kawaida tu, kununua kwa cash. Prof. Kabudi alieleza vyema kuwa hata Mwl. Nyerere aliwahi kununua ndege Uholanzi kwa Cash.

ZZK, bila shaka wewe unaweza kuwa dalali au mtetezi wa madalali na walanguzi wa Koroshi kwa jina la Kongomba. Na bila shaka una hofu ya kutiwa mbaroni na “ma-MP” kwa kuwa una uzani mkubwa wa Korosho au madalali wana uzani mkubwa wa korosho huko kusini. Bila shaka hofu inaongezeka kwa uwoga wa kupoteza maana mkitakiwa kuthibitisha mashamba mnayolima na kuvuna korosho hayapo. Kuna uwezekano, korosho ikawa mali ya JWTZ by default kwa hao “kangomba” maana wakulima walishalipwa na madalali zamani kama wengine wanavyodai.

Ifikie tu wakati, Wizara ya vijana na ajira iwe na mkakati wa kufanya equipment financing kwa vijana na wawe trained kutengeneza finished products za Korosho zinazokidhi mahitaji ya soko la ndani na nje. TADB na TIB Development bank zinaweza kuwapa mikopo vijana kwa udhamini wa Serikali na kutafuta consultants ambao watawa-guide kuzalisha final product yenye kukidhi global markets.

Mhe. Rais JPM, waamini vijana pia kwenye biashara na watafutie consultants ambao watacheza nafasi ya kuhakisha the processing of final product is made by Tanzania owned industries. Na tokea Tanzania, final product ikiuzika nje ya nchi, itaongeza liquidity na kuongeza fedha za kigeni nyingi tofauti na kuwategemea madalali toka India. Enough is enough

Aluta continua
 
Magari ya jeshi ya kubeba Korosho ni 75..Kwa maana hiyo yanaweza beba tani 1500 kwa mkupuo mmoja...Hiyo tani 210,000 zitahitaji mikupuo 140...Sasa kwa umbali wa Mtwara kwenda na kurudi plus muda wa kupakia na kushusha na spidi ya roli maana yake mkupuo mmoja utagharimu siku 3 sasa maana yake ile mikupuo 140 itahitaji siku kama 420..Hapa maana yake kama Magari yakianza kusomba Korosho siku ya jumanne tarehe 14 November 2018 yatamaliza tarehe kati ya 14 Mwezi January Mwaka 2020..Kwa kifupi ni kwamba zoezi la kusomba korosho kwa magari hayo yaliyotajwa litatumia almost mwaka mmoja...Kudadeki nawaza tu zile Korosho zitakazosombwa katika mkupuo mwisho.
Kweli itawezekana au ni movie tu.
 
Magari ya jeshi ya kubeba Korosho ni 75..Kwa maana hiyo yanaweza beba tani 1500 kwa mkupuo mmoja...Hiyo tani 210,000 zitahitaji mikupuo 140...
Hivi ninyi mmesikiliza hotuba ya rais kweli ama mlikuwa na fuatilia tweet za watu fulani ili mpate pa kujengea hoja. Kuna kiwanda kule Mtwara wamekabidhiwa JKT. Kitabangua korosho huko zitakazo baki zinatunzwa kwenye magara.
----
Tafuteni ukweli kwanza kabla ya kujenga hoja.
 
Vipi yale malori yameshaanza safari au hayana upepo? Hayana mafuta au ? Maana sio kwa mkwara ule au yameshafika tayari?
 
Ok. Labda serikali itakuwa imetatua tatizo kwa sasa hofu yangu ni je mikakati gani imewekwa. Serikali itaendelea kununua kila mwaka?
 
1. UZALISHAJI KUPUNGUA:

Uzalishaji ulipungua ulitokana na bad weather na sio vinginevyo. Taarifa ya wataalamu wa Kilimo wa kituo cha Utafiti Naliendele, taarifa ambayo Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Majaliwa kaitoa leo mbele ya Mhe. Rais IKULU na Watanzania wengi tumeIsikia kupita vyombo vya habari.

2. ATHARI ZA KIMAPATO:

Waingereza wanasema to every cause there is effect… If we want to change the effect we should change the cause…Athari inaweza kushuka kwa Halmashauri kama taasisi, ila wananchi watapata hela nyingi kuliko halmshauri kama taasisi. Mzunguko wa fedha utakuwepo katika Halmashauri husika, kwani fedha ambazo kila mwananchi atauza korosho kwa Sh. 3,300/kg, fedha hizo zitanunua bidhaa na huduma katika wilaya/halmashauri hiyo hiyo na kwingineko ambako mwenye fedha atapenda.

Value chain ya korosho itafanyikia hapa kwa kutumia kiwanda cha jeshi (BUKO) ambacho leo wamepewa, unlike korosho ghafi ambayo huwa inakuwa exported kwenda India na Vietnam kuwatajirisha wenye viwanda vya huko na sio Tanzania. Kwa kuwa tutakuwa na finished product, export levy itapatikana wakati tunauza korosho iliyoengezwa thamani. Hoja yako pia iko dhaifu.

3. TADB HAINA FEDHA:

Rais sio kwamba hana uhakika wa uwepo wa 660 bilioni ambazo ametaka zitumike kwa ajili ya ununuzi wa Korosho toka TADB. ZZK acha kutuhadaa kuwa Serikali itawakopa wananchi. Korosho itanunuliwa kwa cash sawia na agizo la Rais JPM wewe kama kiongozi hutakiwa kutengeneza fitna na taharuki. Mbunge anakuwa entrusted na diplomatic passport, kwa hadhi hiyo unawajibika kutulia na kuacha executive branch ifanye kazi yake. Kama kwenye execution process utaona madhaifu, utakuwa na fursa ya kuja na hoja ya kokosoa na sio sasa.

Sidhani kama kuna uvunjwaji wa sheria utatokea. Ila kama itatokea ukiukwaji wa sheria, ZZK nenda mahakamani kufungua shauri la uvunjwaji wa sheria. Ikumbukwe, kuna sheria zingine ambazo huwa zina-govern a particlur land huwa ni mbaya; na kama sheria ni mbaya, ikitokea sheria zimekiukwa, sisi hatutakuwa wa kwanza duniani. Wakati wa utawala wa Farao huko Misri, kuna sheria ilipitishwa kuuwa watoto wa kiume kutoka jamii ya Kiyahudi. Familia ya Musa ilikiuka kwa kumficha mtoto Musa ndani kwa miezi 3. Hata baadae alipotupwa mto Nile na kuokotwa na binti Farao, alipata advatange ya kulelewa katika kasri la Farao kwa kukiuka sheria mbaya. Kama kuna fedha ya kununua korosho ipo ndani ya Tanzania, ni vema fedha itumike kwa kununua korosho bei ya sh. 3,300/kg. Hii thamani yake ni kubwa. Kwa kuwa tuna nafasi ya kuzibangua na kuwa na finished product, gharama ya finished product sokoni ni kubwa. Na kwa kuwa tutauza say kwa kg sh15,000; tutakuwa na fedha nyingi za ziada na mkopo utarejeshwa na riba kama ipo.

4. Magari ya Jeshi yatahitaji mafuta na uhakika wa posho na stahiki za wanajeshi wakiwa kwenye zoezi la korosho. Wanajeshi ni wazalendo na wana utayari kuwa sehemu ya zoezi hili lina thawabu kubwa kwa maslahi ya Taifa kuliko wangenunua madalali/walanguzi wengi ambao ni “Watanzania wa asili ya India”. Mwisho wa siku fedha huwa zinabaki kwenye account zao kama sio India au UK na fedha huwa zinakuja tu, msimu wa kununua korosho na sio vinginevyo. Baada ya manunuzi huwa zinabaki kujenga uchumi wa India ni sio Tanzania.

HITIMISHO:

ACT Wazalendo na ZZK walipinga manunuzi ya ndege kwa cash, wakitaka tufuate sheria ya umma manunuzi ambayo mchakato wake ungefanya gharama ya ndege kuwa kubwa zaidi. Ilitumika akili ya kawaida tu, kununua kwa cash. Prof. Kabudi alieleza vyema kuwa hata Mwl. Nyerere aliwahi kununua ndege Uholanzi kwa Cash.

ZZK, bila shaka wewe unaweza kuwa dalali au mtetezi wa madalali na walanguzi wa Koroshi kwa jina la Kongomba. Na bila shaka una hofu ya kutiwa mbaroni na “ma-MP” kwa kuwa una uzani mkubwa wa Korosho au madalali wana uzani mkubwa wa korosho huko kusini. Bila shaka hofu inaongezeka kwa uwoga wa kupoteza maana mkitakiwa kuthibitisha mashamba mnayolima na kuvuna korosho hayapo. Kuna uwezekano, korosho ikawa mali ya JWTZ by default kwa hao “kangomba” maana wakulima walishalipwa na madalali zamani kama wengine wanavyodai.

Ifikie tu wakati, Wizara ya vijana na ajira iwe na mkakati wa kufanya equipment financing kwa vijana na wawe trained kutengeneza finished products za Korosho zinazokidhi mahitaji ya soko la ndani na nje. TADB na TIB Development bank zinaweza kuwapa mikopo vijana kwa udhamini wa Serikali na kutafuta consultants ambao watawa-guide kuzalisha final product yenye kukidhi global markets.

Mhe. Rais JPM, waamini vijana pia kwenye biashara na watafutie consultants ambao watacheza nafasi ya kuhakisha the processing of final product is made by Tanzania owned industries. Na tokea Tanzania, final product ikiuzika nje ya nchi, itaongeza liquidity na kuongeza fedha za kigeni nyingi tofauti na kuwategemea madalali toka India. Enough is enough

Aluta continua
1.Bad weather ipi kulikolimwa korosho? Mvua,ukame,upepo n.k?
2.Achana na waingereza,Ikiwa vyote viwili uzalishaji na bei vimepungua kuliko mwaka jana,halmashauri hazitapata kodi kama mwaka jana, kwa nini bado unasema hoja ya mapato kushuka ni dhaifu?
3.Yeye kupata mashaka kama TADB ina hizo pesa hili nalo ni shida kwako? Unaijua vizuri kazi ya mbunge,hususani wa upinzani?Ni katika hili tu umeona kama sheria ni mbaya inaweza kutofwatwa au kuna mengine pia? maana yapo Ila hamsikiki mkiyasema!
4.Mbona hueleweki,fedha zipi hizo huwa zinakuja Tu msimu wa kununua korosho na tena zinabaki kujenga uchumi wa India?
Kama uelewa wa biashara ya kimataifa unakupiga chega ni bora ukakaa kimya.
 
Nimejitokeza kuchangia ujuzi wangu kidogo katika zao la korosho lakini zaidi kuonesha fursaha yangu jinsi unafiki wa Mbunge wa Kigoma, Zitto Kabwe, unavyoendelea kudhihirika na kuanikwa na Serikali makini ya Awamu ya Tano baada ya leo kuanza kutapatapa akiropoka tu mitandaoni alipoona Serikali imetumia akili kubwa na uzalendo kulimaliza sakata la bei ya korosho nchini.

Zitto aliyekuwa akionekana kila siku kuchochea mgogoro huo akijifanya kuwapigania wakulima wa korosho wapate soko na bei nzuri, amezidi kufura na kutapatapa na kuonekana dhahiri ameumia baada ya kuona suala la soko na bei nzuri kwa wakulima limeshughulikiwa kwa utulivu mkubwa na Serikali makini na yenye uzalendo ya Rais Dkt. John Magufuli.

Akizungumza Ikulu Dar es Salaam, Rais Magufuli amesema, licha ya kujitokeza baadhi ya wanunuzi baada ya kupewa siku nne za mwisho, Serikali yake kupitia Benki ya Kilimo (TADB) imeamua kuwapatia soko zuri wakulima wa korosho nchini kwa kuzinunua korosho zao zote kwa bei ya shilingi 3,300 licha ya misukosuko ya zao hilo katika soko la dunia ambako bei zimeshuka na uzalishaji pia umepungua sehemu mbalimbali.

Wakati taarifa kutoka mikoa 9 inayolima korosho zikionesha kuwa mamia ya wakulima wamepokea kwa mikono miwili na furaha ununuzi huo wa Serikali utakaoanza kutekelezwa mara moja, wakisema hii ndio Serikali waliyokuwa wakiisubiri kwa hamu, ghafla mtu aliyekuwa anajidai kuwatetea amenuna na kufura!!
Mnafiki Zitto Afura, Amwaga Matusi Mitandaoni

Katika kile kinachodhihirisha kuwa alikuwa akipigania “kiki” za kisiasa badala ya maslahi ya wakulima, nimeshangazwa kuona Zitto Kabwe ameripuka mitandaoni akimwaga kejeli na matusi kwa Serikali baada ya kuona mpango wake wa kiki na kukwamisha mambo umekutana na akili kubwa na yenye nia ya dhati ya Serikali ya Magufuli.

Akionekana kutapatapa zaidi, Zitto sasa anabeza hatua za Serikali mara anaruka kutoka korosho na kuhamia kwenye mahindi na kujadili mambo ambayo mengi hana utaalamu nayo wala kujua sababu za kisayansi za kufanya mabadiliko katika sekta hizo.

Mbunge huyu lakini anakumbukwa kwa siasa zake za aina hii; kutetea maslahi binafsi na kujifanya kuwa pamoja na wanyonge kumbe ni wakala wa mabepari (alipigania mkataba mbovu wa Buzwagi baadaye akafaidika na wamiliki wa Buzwagi na sasa kawa rasmi mtetezi wa Acacia).

Aidha Zitto sasa anaonekana kusahahu hata anapigania nini (kisaikolojia ikiwa ni dalili ya kuchoka kutumika lakini hana namna) pale alipoonekana awali akiwajulisha wakulima bei za korosho kushuka katika soko la dunia lakini ghafla akageuka na kuanza propaganda kuwa bei ndogo zimesababishwa na Serikali. Ameanzisha kaunafiki kapya sasa za kila kitu kutaka kuilaumu Serikali ya Magufuli.

Ushauri wangu kwa Mamlaka huyu ndio dili zake-kupayuka na kupiga kelele ili apewe dili kama alivyonufaika awamu za nyuma na kuwa milionea kwa kiwango hata cha kuanza kuwadharau na kutaka kuwahujumu Chadema wakati huo, Mbowe akamshutukia akamfix na kuwa na mapozi mengi hadi kukataa posho za Bunge (sijajua sasa kama bado hachukui posho). Lakini ninachoshauri ni awamu hii iendelee kumbana tu mnafiki huyu.

Wanatwitter Wamchoka, Wamparura

Hata hivyo katika kile tunachoweza kusema ni kuzidi kushuka, kupauka na kutoaminika kwa mwanasiasa huyu kijana, ni jinsi mamia ya watoa maoni katika akaunti yake walivyomjibu na kumcharura vibaya alipoanza tena kutumia kejeli kubeza Serikali kuongeza bei ya korosho hadi 3,300.

“Walalahoi wa Mtwara na Lindi walikuwa wauze korosho yao kwa buku mia saba (1,700) sasa watauza kwa buku tatu mia tatu (3,300), sasa umekosa pa kupigia kiki,” alisema msomaji mmoja na mwingine kuongeza:

“Wakati fulani inabidi kuweka ubinafsi kando kwa maslahi ya Taifa na walio wengi. Pole Zitto kwa kufanya uanajimu, sasa umejifunza somo.”

Mwingine akaongeza: “Unapoteza muda tu, tumeshakujua mipango yako na ya waliokutuma. Tunasimama pamoja na Rais wetu nyie mkafie mbali.” Mwingine kwa ukali kidogo akasisitiza:

“Pumbavu sana..Kwani Rais ndio anayelimisha mashamba?Kwani hayo mahindi kupanda bei mwaka jana ni sababu ya Rais na kushuka bei mwaka huu ni sababu ya Rais?Narudi tena pumbavu sana.”

Wasomaji wengi wameonekana kuridhishwa na hatua za Serikali katika zao ambalo nchi kubwa zinazoongoza kulinunua kama India na Vietnam kwa sasa wameamua kuwekeza katika viwanda na kilimo chao cha ndani. Rais Magufuli, na kinachoonekana kitazidi kumuuma Zitto na wapambe wake, pia ameagiza haraka uwekezaji katika viwanda vya kisasa vya ubanguaji wa korosho. Hii ndio Tanzania ijayo.

Zito Ni Kasuku Tu, Hajui Sayansi ya Korosho

Nchi nyingi za Afrika huuza korosho zao India, China na Vietnam, hata hivyo kwa sababu mbalimbali za hali ya hewa mwaka huu uzalishaji wa korosho si, Tanzania tu, katika nchi mbalimbali umeshuka huku pia baadhi ya benki kuogopa kutoa mikopo kwa wakulima (mfano wa India) hivyo kuathiri uzalishaji wa kati.

Utafiti wa kitaalamu nilioufanya unaonesha kuwa zao hili pamoja na mchango wake katika fedha za kigeni ni zao ambao hukumbumbwa na mtikisiko wa kupanda na kushuka katika nchi nyingi na si kama Kasuku Zitto Kabwe anavyotaka kulaghai watu hapa nchini akilaumu kila kitu kwa Serikali.

Jarida la HinduBusinessLine toleo la Machi mwaka huu limesheheni ukweli huu na sababu za kuanguka bei za korosho mwaka huu likitabiri mwishoni mwa mwaka zitaanza kupanda. Kuanguka huko kwa bei pia kuliathiri uzalishaji wa korosho ambapo ni benki chache huko India na Vietnam zilikuwa tayari kuwakopesha wakulima. Rejea Decline in global cashew prices affects processors

Pia wataalamu na watafiti wa zao hili wanasema ni zao ambao linaathiriwa na sababu mbalimbali kama masoko, hali ya hewa, wadudu na hivyo uzalishaji huongezeka na kupungua. Nitatumia tafiti za watafiti wa zao hili kusisitiza Zitto Kabwe ni Kasuku tu katika hili zao, ni mpigadili tu asiyejua anachopigania
Katika andiko liitwalo: “Cashew Nut Production in Tanzania: Constraints and Progress Through Integrated Crop Management,” mtandao wa ResearchGate unataja jinsi uzalishaji wa korosho ulivyoanguka sana Tanzania miaka ya 1980.

Hii ni kumuonesha Zitto kupungua na kupanda kwa uzalishaji wa korosho hapa nchini sio jambo la leo.
Nanukuu ripoti hiyo ikionesha jinsi uzalishaji ulivyopata kushuka nchini kutoka tani 145,000 hadi tani 16,500 miaka ya 1970 na 1980 ikisema:

“Following a steady increase in production from the middle of this century, there was a dramatic decline from 145,000 t in 1973 to 16,500 t in 1986. This was caused by a complex of socio-economic (low producer prices, inefficient marketing, villagisation) and biological factors (cashew powdery mildew disease, low tree yields, overcrowding of trees).”

Lakini wakati Zitto asiyeijua sekta hii anadandia dandia na kutaka kiki, tafiti zaidi zinaonesha kuwa uzalishaji wa korosho duniani hauwi na uwiano kila mwaka. Kuna wakati unapungua na kuna wakati unaongezeka kwa kasi au kidogo. Na kote huko yanakotokea mabadiliko na uzalishaji unapungua au kuongezeka kidogo si kwa sababu ya “Serikali ya Magufuli” kama Kasuku Zito anavyopambana kila mara kuonesha.
Katika utafiti uliofanyika nchini Gambia kupitia Vizara yao ya Viwanda uitwao “Global Cashew Market- A Snapshot Overview” kwa ujumla uzalishaji wa korosho umekua kwa asilimia ndogo sana duniani. Inasema: “Production According to industry sources, world production of in-shell cashew increased by 2% a year from 2.41 million tons in 2007 to 2.67 million tons in 2012 (Chart 6) (tazama ukurasa wa 16 wa ripoti hiyo.”

Zaidi hiyo inaonesha kuwa uzalishaji wa korosho katika nchi ya asili ya zao la korosho yaani Brazil (ambako wachuuzi wa Kireno walilianzisha zao hili miaka ya 1,500), kuanzia mwaka 2008 umekuwa ukipungua kila mwaka. Huku kote hakuna “Serikali ya Magufuli” ambayo Zitto anahaha kuichukia kila siku kwa sababu binafsi za kubanwa.

Ripoti inasema: “Brazil dominates the Latin American supplies of cashew. Despite significant investments in the sector and the availability of high yielding varieties, Brazilian production of in shell cashews is on a continuing downward trend since 2008 (uk. wa 17).”

Ripoti hiyo inaonesha zaidi kuwa kwa eneo lote la EAC uzalishaji wa korosho ulianguka kutoka jumla ya tani 54,000 hadi 46,000 kati ya mwaka 2011 na 2013 ambapo kwa Brazil na Vietnam uzalishaji uliongezeka lakini mwaka 2012 uzalishaji Brazil ulianguka kutoka tani 255,000 hadi tani 250,000. Magufuli hakuwa Rais wa Brazil wala eneo la EAC wakati uzalishaji huo unashuka.

Ripotio hiyo inatiliwa nguvu na utafiti mwingine wa taasisi inayojishughulisha na masuala ya kilimo cha korosho,AfricanCashewAlliance, uitwao “Cashews: Highlights of the Cashew Industry.” Kwanza awali kabisa ripoti inasema zao la korosho ni zao linalokumbwa na misukosuko mingi kuanzia uzalishaji, masoko hadi ubora wake (uk. 2).

Ripoti inaongeza kuonesha jinsi miaka ya nyuma uzalishaji ulivyokuwa usio na uwiano hata katika mataifa makubwa kama India. “In 2010 Middle Eastern markets (including Turkey) remained strong with Indian exports to the region down only slightly to 24.9 million kgs from 27.6 million kgs in 2009.”

Taarifa zaidi za utafiti wa masoko zinaonesha kuwa hata mataifa makubwa ambao ni wanunuzi lakini pia wazalishaji yamekuwa yakipata shida ya mauzo kupungua. Shida kama hii ilishaikumba India sana kutokana na sababu mbalimbali za kimasoko na ushindani.. Ripoti inasema (ukurasa wa 12):

“Indian cashew exports have been in decline since reaching a peak of 120.5 million kgs in 2004. Exports in 2010 were 95.2 million kgs, 21 percent below the peak year. Indian exports to the U.S. have fallen for six consecutive years from nearly 56.8 million kgs in 2004 to 26.5 million kgs in 2010, a 53 percent decline. Beyond competition from Vietnam, a principle cause of the decline in exports has been increased Indian domestic demand. Indian consumption of cashews as ingredients in confectionaries and various cuisines has been steadily rising along with per capita income. After ten consecutive years of increases, Indian exports to the Middle East (including Turkey) fell somewhat in 2010.”

Wenzetu kama alivyosisitiza Rais Magufuli pia sasa wanawekeza katika soko la ndani ambapo viwanda vinabangua na kuhakikisha bidhaa mbalimbali zinazotumia korosho zinazalishwa kama vile korosho zenyewe za kula, biskuti, mikati, jibini za korosho n.k. Huku ndiko Tanzania na dunia inakokwenda tofauti na Kasuku Zito na mchumi ambaye hajawahi kufanya kazi ya uchumi popote anavyohaha kupotosha.

Nawapongeza wananchi wa mikoa 9 mnaolima korosho kwa kupata Serikali sikivu, Serikali inayoendelea kuwapigania haki zenu. Niwaombe muwakatae wanasiasa wanaotaka kuyatumia vibaya matatizo yenu.
hypocrite.jpg
 
Kweli vyuma vimekaza.

Siku hizi vipumbule kibao vimeamua kuishi kwa kujipendekeza kwa Jiwe.

Mwarobaini wa misukule kama hii ni katiba itakayofuta vyeo vya KUHONGANA ili kila msukule ale kwa jasho.
 
zitto ni mnafiki tu....hata mbowe alimfukuza kwenye chama chake...

Tumechoka dharau kutoka kwa vijinchi vidogovidigo mh. Raisi turudishe kwenye chati ya Afrika turudishe heshima we are big nation.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom