Recent content by Masatu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Sethi (bikira wa kisukuma) amefariki dunia

    Sethi Harbinder? Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jumamosi tar 16/5/2015, Arusha kusimama kwa muda, Lowassa kutangaza nia Shekhe Amri Abeid

    Chumvi nyingi mchuzi haunyweki!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vunjeni Makongwa Yenu, Tupeni Mbali Minyororo Yenu!!

    Wewe na huyo Nyerere mpaka unaboa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli aongoza wananchi kwenye majaribio ya uzinduzi wa kivuko cha MV Dar es Salaam

    Much as I admire Magufuli na nina appreciate kazi nzuri inayoifanya lakini kwenye hili naungana na msemaji juu hapo mradi huu ni white elephat. Walioubuni wamekurupuka kwa sababu zifuatazo: 1. Si kweli msafiri atafika haraka Bagamoyo kwa sababu always boat ni slower that gari 2. Bahari hususan...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Washauri wa Lowassa Tafadhari Mshaurini hili Mzee wetu...

    Ushauri kwa MODS; Tunaomba mfungue forum maalum ya Lowasa maana sasa ishakuwa kero. Kila thread Lowasa kila post Lowasa. Anzisheni jukwaa la Lowasa ili nasi tupumue
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Arusha na Kanda ya Kaskazini kulikoni, mbona kama mmelalia masikio na macho?

    Tumieni kwaya za Kanisa!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wassira amvaa Membe, ni baada ya Ofisi ya Membe kumdhalilisha

    Neno sahih ni udhi na sio uzi. Unataka kutuaminisha anaesambaza hizo picha ni Waziri Membe kwa ushahidi upi? au unataka kusema alieanzisha huu uzi ni Waziri Membe?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wassira amvaa Membe, ni baada ya Ofisi ya Membe kumdhalilisha

    Membe kawa "Personal assistant" wa Wassira mpaka amrekebishie vishikizo vya koti? acheni mapenzi ya kijinga na lawama zisizo na msingi. Huyu mzee wenu toka anatoka kwa mkewe, dereva wake, msaidizi wake wote hawakuona kama mzee kavaa sivyo ndivyo, mpaka lawama kwa Membe? Eti wapiga picha wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Kigwangalla afariki Dunia huko India 8 Feb 2015

    Who is who? Bagaile or Kigwangwallah mnatuchanganys
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Membe mgeni rasmi tamasha la Wasabato leo Uwanja wa Taifa

    Mwaka huu tutaona mengi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Simba vs Mbeya City: kutoka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

    Upumbavu mtupu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Sitta, Mwakyembe wabadilishiwa Wizara

    Wassira karudi kilimo. Je ile nyumba watamnyang'anya au ndio imetoka
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Sitta, Mwakyembe wabadilishiwa Wizara

    Karibu tena barazani Mh John Nchimbi na Mh Khamis Kagasheki
  14. M

    JamiiForums Tanzania Escrow Scandal: Prof Sospeter Muhongo (Minister for Energy and Minerals) resigns

    Sasa tusubiri "nchi kutikisika" au laa. Prof mzima anaingizwa mkenge na Baniani yule
  15. M

    JamiiForums Tanzania Opportunist Mrisho Mpoto

    Muacheni Danny Sserunkuma ajipatie kipato msimu wa mavuno huu
Back
Top Bottom